REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Hii ni ndani ya muda mfupi sana, matukio haya yanayoihusu Kenya na Tanzania ndio yanapelekea uhusiano {uliokuwa wa kishenzi} uzidi kudorora, wafanyabiashara hawa wa Kenya hawampendi kabisa JPM kutokana na kuweka mazingira magumu yanayowafanya wafilisike kila wanapojaribu kwenda kimazoea