Kenya inaongoza Afrika kwenye "Police brutality & Killings", inaonekana hili tatizo wakenya wanelizoea na ni jambo la kawaida sana, kwasababu tangu enzi za MZEE Jommo Kenyatta hadi Uhuru Kenyatta, hakuna mabadiliko.
Sent using
Jamii Forums mobile app