Wakenya wazidi kuvuka mpaka kufuata huduma bora za afya Tanzania

Umeangalia hiyo video na kuisikiliza kwa umakini ?
Huku serikali ikinuia kuhakikisha kuwa Wakenya wote wanapata huduma bora za afya kufikia mwaka wa 2022, wenyeji wa kaunti ya Taita Taveta wangali wakisafiri hadi Tanzania kutafuta matibabu.

Taifa Leo ilibaini kuwa idadi ya wenyeji wa eneo hilo wanaosafiri hadi Tanzania kutafuta matibabu imeongezeka.

Kwa Hii page tu
MWANAMKE raia wa Tanzania anayewashiriki katika ulanguzi wa binadamu ameshtakiwa kumwigiza humu nchini mtoto kiwete mwenye umri wa miaka saba kufanya kazi ya kuomba katika barabara za jiji la Nairobi.

Bi Kwandu Cheye mwenye umri wa miaka 43 alishtakiwa mbele ya hakimu mkuu wa mahakama ya Milimani, Nairobi Bw Francis Andayi.

Mashtaka dhidi ya Bi Cheye yalikuwa kati ya Mei na Agosti 2018 alimsafirisha mtoto huyo kiwete kutoka nchini Tanzania hadi Nairobi nchini Kenya alipomtumia kujitajirisha kwa “kumpeleka kwenye barabara kuomba.”

Kiongozi wa mashtaka Bi Kajuju Kirimi alimweleza Bw Andayi kuwa Bi Cheye alikuwa anampeleka mlalamishi katika moja ya barabara za mtaa wa Eastleigh, Nairobi kuomba.

“Pesa zote ambazo mlalamishi alikuwa anapewa na wahisani zilikuwa zinachukuliwa na Bi Cheye kujitajirisha,” Bw Andayi alifahamishwa, mshtakiwa aliposomewa mashtaka.

Mahakama iliambiwa kuwa wakazi wa mtaaa wa Eastleigh walimnusuru mtoto huyo, ambaye jina lake hatuwezi kuchapisha kwa sababu ya umri wake mdogo, na kumpeleka katika kituo cha polisi.

“Alipookolewa, mtoto huyo alikuwa na mkebe uliokuwa na Sh450 alizokuwa amepewa na wahisani,” hakimu alijulishwa.

Bi Cheye alikanusha mashtaka matatu dhidi yake na kuomba aachiliwe kwa dhamana.

“Je, uko na uwezo wa kumwajiri wakili akutetee kwa vile kesi hii inayokukabili ni kali. Ukipatikana na hatia utasukumiwa kifungo cha miaka mingi gerezani,” Bw Andayi alimshauri.

“Sina uwezo kifedha kusaka huduma za wakili. Naomba hii mahakama inisaidie,” Bi Cheye alijibu.

“Basi itabidi uandike barua kupitia kwa afisa mkuu wa hii mahakama upewe wakili atakayekutetea. Karani wa mahakama atakusaidia kujaza fomu ya kuomba huduma za wakili,” Bw Andayi alimweleza.

Mshtakiwa aliachiliwa kwa dhamana ya Sh300,000 pesa tasilimu. Kesi itasikizwa Agosti 23, 2018.
 
Kweli kabisa, katika lugha ya kiingereza Kenya ipo juu ya Tanzania, lugha ya kiingereza sio huduma ya kijamii, bado tunao watanzania wachache wenye mawazo ya kikoloni wenye kufikiri kwamba kiingereza ni Muhimu, hii ni kutokana na mawazo ya kitumwa, Slavery mentality".

1)Watoto wa Tanzania huvuka mpaka kufuata lugha ya kiingereza Kenya (Kiingereza sio jambo la msingi katika mahitaji ya binadamu)
2)Wakenya wote bila kujali umri wao huvuka mpaka kuja Tanzania ili kupata huduma bora za Afya(Afya ni kitu cha msingi katika mahitaji ya binadamu)

Karibuni sana katika nchi ya maziwa na asali.

Kiingereza ni muhimu zaidi ya Kiswahili,deal with it!

Hutaki andamana!
 
Kwa Hii page tu
MWANAMKE raia wa Tanzania anayewashiriki katika ulanguzi wa binadamu ameshtakiwa kumwigiza humu nchini mtoto kiwete mwenye umri wa miaka saba kufanya kazi ya kuomba katika barabara za jiji la Nairobi.

Bi Kwandu Cheye mwenye umri wa miaka 43 alishtakiwa mbele ya hakimu mkuu wa mahakama ya Milimani, Nairobi Bw Francis Andayi.

Mashtaka dhidi ya Bi Cheye yalikuwa kati ya Mei na Agosti 2018 alimsafirisha mtoto huyo kiwete kutoka nchini Tanzania hadi Nairobi nchini Kenya alipomtumia kujitajirisha kwa “kumpeleka kwenye barabara kuomba.”

Kiongozi wa mashtaka Bi Kajuju Kirimi alimweleza Bw Andayi kuwa Bi Cheye alikuwa anampeleka mlalamishi katika moja ya barabara za mtaa wa Eastleigh, Nairobi kuomba.

“Pesa zote ambazo mlalamishi alikuwa anapewa na wahisani zilikuwa zinachukuliwa na Bi Cheye kujitajirisha,” Bw Andayi alifahamishwa, mshtakiwa aliposomewa mashtaka.

Mahakama iliambiwa kuwa wakazi wa mtaaa wa Eastleigh walimnusuru mtoto huyo, ambaye jina lake hatuwezi kuchapisha kwa sababu ya umri wake mdogo, na kumpeleka katika kituo cha polisi.

“Alipookolewa, mtoto huyo alikuwa na mkebe uliokuwa na Sh450 alizokuwa amepewa na wahisani,” hakimu alijulishwa.

Bi Cheye alikanusha mashtaka matatu dhidi yake na kuomba aachiliwe kwa dhamana.

“Je, uko na uwezo wa kumwajiri wakili akutetee kwa vile kesi hii inayokukabili ni kali. Ukipatikana na hatia utasukumiwa kifungo cha miaka mingi gerezani,” Bw Andayi alimshauri.

“Sina uwezo kifedha kusaka huduma za wakili. Naomba hii mahakama inisaidie,” Bi Cheye alijibu.

“Basi itabidi uandike barua kupitia kwa afisa mkuu wa hii mahakama upewe wakili atakayekutetea. Karani wa mahakama atakusaidia kujaza fomu ya kuomba huduma za wakili,” Bw Andayi alimweleza.

Mshtakiwa aliachiliwa kwa dhamana ya Sh300,000 pesa tasilimu. Kesi itasikizwa Agosti 23, 2018.
Hii maneno kawaambie wakazi wa County ya Taita Taveta wakunyooshe.
 
Umeangalia hiyo video na kuisikiliza kwa umakini ?
Huku serikali ikinuia kuhakikisha kuwa Wakenya wote wanapata huduma bora za afya kufikia mwaka wa 2022, wenyeji wa kaunti ya Taita Taveta wangali wakisafiri hadi Tanzania kutafuta matibabu.

Taifa Leo ilibaini kuwa idadi ya wenyeji wa eneo hilo wanaosafiri hadi Tanzania kutafuta matibabu imeongezeka.

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee
 
Sasa GDP yenu ndogo na udona kantri wenu uliwasaidiaje mbunge wenu alipotibiwa Nairobi baada ya kumiminiwa risasi? Bill yenyewe ya hospitali mlishindwa kulipa, eti nchi ya asali. [emoji1]

Hizo zilikuwa sababu za kiusalama zaidi
 
Back
Top Bottom