Wakenya wengi wakubalian na matendo ya kushambuliwa kwa wageni huko "South AFrica"

Wakenya wengi wakubalian na matendo ya kushambuliwa kwa wageni huko "South AFrica"

Nilikuwa n
Kubwa zima hilooo

Hehehe, hiyo ni reasoning of 1% brain usage[emoji23]
IMG_20190906_143541_600.JPG
 
Vipi wale Jaluo mnaowachinja kila kipindi cha uchaguzi, zile nyama zao mnawapelekea Turkana na Samburu kupooza njaa?
Wewe unaongea nini? Kama ni vita vya 2007 sio wajaluo pekee waliumia bali hata wakikuyu na kabila zingine. Fanya research kabla ufungue mdomo
 
Lakini eti ni hiyo asilimia moja ndo inawashikisha ukuta daily [emoji23][emoji23][emoji23]
Imagine hiyo asilimia moja ikigoma kuwauzia chakula huwa mnatembea kwa magoti kutoka kunyaland failed state hadi Tanzania

Nilikuwa nHehehe, hiyo ni reasoning of 1% brain usage[emoji23]View attachment 1199894
 
Lakini eti ni hiyo asilimia moja ndo inawashikisha ukuta daily [emoji23][emoji23][emoji23]
Imagine hiyo asilimia moja ikigoma kuwauzia chakula huwa mnatembea kwa magoti kutoka kunyaland failed state hadi Tanzania

Rudia tena[emoji23][emoji23]
IMG_20190906_143541_600.JPG
 
babayao255 dawa ya deni Ni kulipa kuondoa aibu ndogo ndogo Kama ya Kukamatwa kwa vitu vyako... ushawahi sikia Nchi nyingine duniani yenye kupitia aibu ndogo ndogo za Madeni 😂😂 😂
Kuwa na madeni ni jambo LA kawaida, hata marekani na China, pia aina madeni.
Hill suala LA kulipa madeni ni kitu kingine sasa.Ingawaje ni busara sana KWA MTU muungwana kulipa madeni kwa hiari
 
Lakini eti ni hiyo asilimia moja ndo inawashikisha ukuta daily [emoji23][emoji23][emoji23]
Imagine hiyo asilimia moja ikigoma kuwauzia chakula huwa mnatembea kwa magoti kutoka kunyaland failed state hadi Tanzania

Zaidi ya watu 67 waliuliwa katika maadamano ya uchaguzi uliopita 2017, 80% ni Jaluo.
 
Ni kweli lkn mngeanza kwanza nyie kuondoka huku TZ ambako mmejaa mpk mnaju-register kwny vitambulisho vya Taifa mnaishia kukamatwa tu eti mkidai nyie wabongo,mrudi Kunya land kwny nchi ya maziwa,asali usisahau na mchele wa plastic from china.
Imekuuma Mkenya aliposema eti nyie mnakuja huku kufanya kazi ambazo sisi tunaeza fanya. Kwani si kweli?
 
Oooh kumbe umesikia tu na sio umeshuhudia,
Hakuna mtu mwenye shida na mkenya huku tupo nao tunashirikiana tu vizuri kabisa tena wengine wapo bila vibali wamejichimbia mikoani huko[emoji23][emoji23][emoji23]

Ila shida moja ya mkenya hajazoea kufata sheria nchini kwake na ndio maana akiwa kwenye nchi zingine huwa anaona kama anaonewa kumbe ni sheria za nchi husika ndio hafati [emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia huko Dar Mbongo akifahamu kuwa anaongea na Mkenya anachukizwa sana. Na chuki yenyewe haina sababu. Mara mnasema Wakenya ni wezi mara ni wakora. Unadhani hatujui.
 
Ni lini Mkenya amechukua panga akakata Mnigeria? Ni lini Mnigeria ametiwa kiberiti hapa Kenya? Huku Kenya hata mwizi akikamatwa anapigwa tu kidogo kisha anapelekwa kwa polisi. Sisi tuko civilised. Usiwache chuki yako ya Kenya ikufumbe macho. SA is one of the most violent countries in the world. Hata wanauwa wanawake wao. Jana niliona video president Ramaphosa akiwakanya raia wake waache kuuwa kiholela wanawake wao. Umeona statistics za crime za SA?
When someone is speaking a foreign language you don't understand
 
Back
Top Bottom