babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Ukikaa huku jamii forums unaweza ukasema 2020 upinzani watachukua nchi[emoji23][emoji23]
Lakini kiuhalisia maskini wengi wanampenda Magufuli...ata hawa machinga waliolipishwa vitambulisho wanampenda sana...
Ukiona comment za wa amerika baada ya kuona vituo vya sgr kenya...ndio utaumia kabisa...
So hicho si kigezo cha kumfanya awe rais bora...au na nyinyi mletewe za watanzania wanavyopagawa na uhuru mtokwe na povu
mental slavery!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Halafu Wakenya wapo obsessed na Tanzania sana they are thoroughly watching the space sababu tumewatupa mbali sana so far [emoji28][emoji28][emoji28]
Hata members wengine humu ukiona comments zao utafikiri Tanzania inawaka moto ila ukienda youtube, Instagram comments nyingi ni kumuunga mkono JPM, ni jf tu ndio hujidanganya wapo wengi.Hawa wa JF ndo wanachuki [emoji23][emoji23][emoji23] ila najua in reality wanatamani wapate Mtu kama JPM
Hata members wengine humu ukiona comments zao utafikiri Tanzania inawaka moto ila ukienda youtube, Instagram comments nyingi ni kumuunga mkono JPM, ni jf tu ndio hujidanganya wapo wengi.
Wakenya wa Youtube ni some villagers mostly who are into Bongo music. Ni shagzmondo hao, so dont take their opinions highlyNyie wakenya wa JF tushawazoea na chuki zenu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu weka huu uzi palipo Watanzania, kwa mfano uuweke kwenye majukwa ya Watanzania humu JF uone mziki wake, utatukanwa hadi ukimbie.
Watu nje ya nchi ya Tanzania hutegema kusoma yaliyo kwenye magazeti yenu ambayo kutwa yanaimba mapambio ya sifa, maana pakiibuka mwandishi asiyeimba sifa anakumbana na masaibu kama tunayosma kuhusu huyo Kabendera, nimesoma sehemu mumemfungulia mashtaka ya uhaini kisa tu kaandika, jameni uhaini adhabu yake kifo, dah huko kwenu balaa.
Kwa kifupi comments za watu nje ya nchi wanaotegemea kusoma magazeti sio kipimo bora, MaCCM mnafaa kuangalia upepo kwenu ndani, je Mtanzania wa kawaida anasemaje, comments zake ziko vipi ukimpa uhuru wa kusema, tatizo pia kwenu mumezuia wapinzani wasiongee, wakikusanyika hata watano wanapokea kibano, ilhali MaCCm wenyewe hata halaiki mnakusanyika, kutwa mpo kikampeni zaidi. Niliona uzi humu hata polisi wanahutubia na kusifia kwenye mkutano wa CCM.
Wakenya wa Youtube ni some villagers mostly who are into Bongo music. Ni shagzmondo hao, so dont take their opinions highly
Subutu...aupeleka kule kw watanzania aone moto