Wakenya wengi wanamkubali sana Rais JPM

Hata members wengine humu ukiona comments zao utafikiri Tanzania inawaka moto ila ukienda youtube, Instagram comments nyingi ni kumuunga mkono JPM, ni jf tu ndio hujidanganya wapo wengi.
Kweli aisee hyo kitu nmeiona sana instagram watu wanamkubali sanaaa
 
Mkuu endelea kuweka hizo comment za youtube naona mbukinya wameanza kutoa mapovu
 
Ukikaa huku jamii forums unaweza ukasema 2020 upinzani watachukua nchi[emoji23][emoji23]

Lakini kiuhalisia maskini wengi wanampenda Magufuli...ata hawa machinga waliolipishwa vitambulisho wanampenda sana...
Hata 2015 walikuwa hivyo hivyo, wakadiriki mpaka kupiga deki barabara na kuzungusha mikono lakini kilichowakuta hawajaamini macho yao hadi leo.
 
Povuuuuuuuuuu
 
Mambo ya waKenya waachieni wenyewe...

Hao wanapendana kwa makabila...



Cc: mahondaw
 
Wakenya wa Youtube ni some villagers mostly who are into Bongo music. Ni shagzmondo hao, so dont take their opinions highly
Vipi huyo mwenye youtube verified ni vilaggers? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ataukimbia uzi wake, unajua kidogo humu JF ndio Watanzania wengi hupata kafursa kakusema, maana kule nje athubutu kuongea tu....defenda zinageuzwa geuzwa mtaani.
Bampa to bampa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…