Wakenya wengi wanamkubali sana Rais JPM

Kwasababu hawaishi nae!
Hawajui incompetencies zake!
Wanamuona at a far which is really skewed view!
Jiwe is a total failure!
Wasiolala hiki kitanda hawajui ukali wa kunguni wake!
Jiwe ni mwamba sote tunamkubali,binafsi kura yangu kashaipata mapemaaaaa
Upinzani ushakufa kitambo,nimchague nani?..lipumba,mbowe,au zitto??? Labda niwe nimelewa...
 
Kwani ye kakwambia ni mwanasiasa???

Kule ni kwa ajili ya wanasiasa,sasa ye si mwanasiasa!!...sasa nani huzingatia maoni ya wanasiasa??????

Apeleke jukwaa lolote ambalo Watanzania wanachangia, apate za uso moja kwa moja. Watu vyuma vimekaza mtaani halafu unawapelekea misifa ya kwenye Youtube.
 
Mbukinya wanaanza kukataana wanadai kwamba hao ni villagers,ati sio wakenya...!!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Mbukinya wanaanza kukataana wanadai kwamba hao ni villagers,ati sio wakenya...!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukikaa huku jamii forums unaweza ukasema 2020 upinzani watachukua nchi[emoji23][emoji23]

Lakini kiuhalisia maskini wengi wanampenda Magufuli...ata hawa machinga waliolipishwa vitambulisho wanampenda sana...
Hahahahaha, yaani huku ndiyo maana sisi team Lumumba tulishapapuuza sasa tunajenga nchi, maana waliobaki vinara wachache wapinga maendeleo wanaishi nchi za nje na wengine wamekimbia nchi na wengine wana uraia wa nchi mbili, so 2020 ni Dkt Magufuli kwenda mbele!
 
Apeleke jukwaa lolote ambalo Watanzania wanachangia, apate za uso moja kwa moja. Watu vyuma vimekaza mtaani halafu unawapelekea misifa ya kwenye Youtube.

Jombaaa hao ni vilaza tuu...
Sasa kama vyuma vimekaza ye uncle magu afanyeje????...awapelekee sufuria la ugali majumbani mwao???..au nyie wenzetu uhuru hugawa sahani ya githeri kwa kila mtu aliyefulia...

Pombe kashakwambia kazeni,mkizembea mtakufa njaa...big up ngosha!!
 

Mimi nazunguka dunia hata kabla ya JPM kuwa rais.
For your info. Kila mwaka lazima niende home nikawape hi watu wangu wa ukoo na marafiki na majamaa.
Na mawasiliano ya Leo. Kila kitu cha home kinachoendelea najua.
Kama ni sherehe au msiba, nk nashiriki kikamilifu.

Na huyo uliyemsema anaenda Nigeria, asije akawa anaenda kununua uchawi na kupeleka bongo.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Lol.. Yaani hamjaridhika kuwa nambari moja duniani kwa uchawi? Mpo 92% sasa mnataka kuwa 99%?
Hongereni kwa kuiwakilisha EA &the world at large. πŸŽƒπŸŽƒ
 

Kwanini unawaita ma ccm
 
Lol.. Yaani hamjaridhika kuwa nambari moja duniani kwa uchawi? Mpo 92% sasa mnataka kuwa 99%?
Hongereni kwa kuiwakilisha EA &the world at large. πŸŽƒπŸŽƒ

Aha haaa
Na wee night runner usijifanye ndo msafi Sanaa!!!
πŸ˜€πŸ˜€
 
Jiwe ni mwamba sote tunamkubali,binafsi kura yangu kashaipata mapemaaaaa
Upinzani ushakufa kitambo,nimchague nani?..lipumba,mbowe,au zitto??? Labda niwe nimelewa...

Mzee safi sana unajua kutumia uhuru wako wa kuchagua na kushabikia umtakae!

Shida ni pale unapoona watu wengine wako tofauti na wewe na kua hostile towards them!

Tuache na sisi tuchukie tukitakacho,usiwe hostile against us!

Kisa tupo tofauti na wewe!
 
Wewe siku hizi siwezi kujibishana na wewe, ninakuheshimu sana kati ya wakenya wote. Japo umezaliwa Kenya, lakini roho, Upendo na wema wako sio wa Kenya, lazima umevipata toka Bongo. Ubarikiwe sana.
Flatter flatter flatter flattery
Daima Mimi Mkenya Mwananchi Mzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…