babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
- Thread starter
-
- #101
Mombasa ni city, Nakuru is a huge town etc. Ni hard upate diehard bongo fans in urban centres unless ni new wave of settlers. But ukienda ocha/village, Bongo is the real thing
Humu kwa miaka ya mingi tangu awamu za nyuma ilikuwa sehemu nzuri ya kujadili mambo ya msingi ya kijamii na maendeleo lakini wapinzani isiwe Tz tu bali East Africa wakavamia kwa wingi kuja kutuliza machungu yao. So it's basically lazima wame dominant members in so much ways. Ila JF haina ubaguzi kila mtu ana nafasi ya mawazo yake kushirikisha wengine pamoja na yanayojiri kitaifa na kimataifa, so waachwe tu waendelee ila ukweli haufichiki Raisi Magufuli is doing his best so far.Hata members wengine humu ukiona comments zao utafikiri Tanzania inawaka moto ila ukienda youtube, Instagram comments nyingi ni kumuunga mkono JPM, ni jf tu ndio hujidanganya wapo wengi.
Hujielewi wewe bogaKwani hili jukwaa la kenya ni la nn...si ni la siasa pia..au we wafikiria ni nn?yani hii mada ikipelekwa kule mtakimbiana
Huko kwenu case ni tofauti kidogo hakuna asiyejua kuwa turkana ni sehemu yenye hukumbwa na njaa siku zote hivyo kikawaida serikali ndo kuwajibika kuwatafutia chakula..Leo naona umeingia kumi na nane...sasa mbna mnapiga kelele mkisema serikali ya kenya imeshindwa kulisha watu wake...
Leo umeona yamekufika shingoni...ndio wajifanya muungwana eti uhuru kapatia watu wangapi sufuria...sanat sana...mpka nacheka kw furaha sana walai[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nairobi,mombasa still bongo is the real thing,and we all know.. you can't tell us the liesMombasa ni city, Nakuru is a huge town etc. Ni hard upate diehard bongo fans in urban centres unless ni new wave of settlers. But ukienda ocha/village, Bongo is the real thing
Usijikute mzungu jane...Lol.. Yaani hamjaridhika kuwa nambari moja duniani kwa uchawi? Mpo 92% sasa mnataka kuwa 99%?
Hongereni kwa kuiwakilisha EA &the world at large. ππ
Huko kwenu case ni tofauti kidogo hakuna asiyejua kuwa turkana ni sehemu yenye hukumbwa na njaa siku zote hivyo kikawaida serikali ndo kuwajibika kuwatafutia chakula..
Tofauti na hao wanaojidai vyuma vimekaza...sijui kama utanielewa maana we jombaaa akili yako waijua mwenyewe[emoji20][emoji20]
Wakenya wanamkubali sana JPM ,he's the man of action and that's very trueUshahidi upo kwenye comment za huu wimbo mpya wa Harmonize - Magufuli, comment nyingi za wakenya wakitamani kupata raisi Kama JPM
Wimbo ameimbiwa JPM lakini wakenya wamejazana kucoment [emoji23][emoji23][emoji23]
Hujielewi wewe boga
Ushahidi upo kwenye comment za huu wimbo mpya wa Harmonize - Magufuli, comment nyingi za wakenya wakitamani kupata raisi Kama JPM
Wimbo ameimbiwa JPM lakini wakenya wamejazana kucoment [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani hiyo nyimbo ya Harmonize si ni TZ umeona comment nyingi za watanzania zinasemaje?Hebu weka huu uzi palipo Watanzania, kwa mfano uuweke kwenye majukwa ya Watanzania humu JF uone mziki wake, utatukanwa hadi ukimbie.
Watu nje ya nchi ya Tanzania hutegema kusoma yaliyo kwenye magazeti yenu ambayo kutwa yanaimba mapambio ya sifa, maana pakiibuka mwandishi asiyeimba sifa anakumbana na masaibu kama tunayosma kuhusu huyo Kabendera, nimesoma sehemu mumemfungulia mashtaka ya uhaini kisa tu kaandika, jameni uhaini adhabu yake kifo, dah huko kwenu balaa.
Kwa kifupi comments za watu nje ya nchi wanaotegemea kusoma magazeti sio kipimo bora, MaCCM mnafaa kuangalia upepo kwenu ndani, je Mtanzania wa kawaida anasemaje, comments zake ziko vipi ukimpa uhuru wa kusema, tatizo pia kwenu mumezuia wapinzani wasiongee, wakikusanyika hata watano wanapokea kibano, ilhali MaCCm wenyewe hata halaiki mnakusanyika, kutwa mpo kikampeni zaidi. Niliona uzi humu hata polisi wanahutubia na kusifia kwenye mkutano wa CCM.
Maembe ya jirani huwaga matamu mara zote!
Wakenya wengi wanapenda kuwa Tz sasa unalala nyumba ya bati full Slim's
Kuna ulazima wa kujua..Mngekuwa na akili na kuijua Kenya mgepambana kuziondoa slums zilizo jaa ovyo mmetoa 4 bora dunianiAnayesema haya maneno ni jamaa tu amabae katulia uswazi hajui kinachoendelea nje ya bongo land[emoji122][emoji122][emoji122]
Hawajui wayatendayo Wana enjoy uhuru wa maoni huko waliko na wanakuponda lakini tulio ndani tunayaona Madudu ambayo hatuwezi kuthubutu kufungua mdomo kuyasema hadharani kama wanavyoyasema wao huko kwaoTwende kaziView attachment 1171080
Aina hii ya watu wamewahi fika Tzn kweli au huwa wanaangalia Photoshop za tunatekeleza?ππππ
Nilicheka kule jukwaa la siasa kuna mkali alisema pamba imedoda na wafanyabiashara wamezingua kununua sasa mabenki yanalazimishwa kisa nn,ni hivi ati hawawezi enda benki kukopa mabilioni wakanunue pamba wakati sera ya nchi haieleweki kwamba presidaa akilala atakachoota usiku ndio kesho yake kinakuwa country policy ππππ€Okay so what ? Ukweli ni kwamba Magufuli ana udikteta fulani na mtazamo wake kiuchumi sio sustainable in the long run.Only the simple minded can accept this guy whole hog.