MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Sasa bro unarudiaje kuhesabu upya kwenye votes zilizo fojiwa..impossible..lakini kwanini team Ruto walifanya haya kwa Raila ambaye ni mzoefu wa uchaguzi miaka yote..na anajua tricky zote..hivi unaanzaje kumwibia Raila na team ya magwiji wale...hahahah..shame..!!
Mpaka sasa sijaona ushahidi wowote kwamba zilifojiwa, japo mimi sio shabiki wa Ruto ila sababu zozote za kuendelea kuchelewesha uapishwaji wake.