Sasa bro unarudiaje kuhesabu upya kwenye votes zilizo fojiwa..impossible..lakini kwanini team Ruto walifanya haya kwa Raila ambaye ni mzoefu wa uchaguzi miaka yote..na anajua tricky zote..hivi unaanzaje kumwibia Raila na team ya magwiji wale...hahahah..shame..!!
Basi subir wenye taaluma zao waje watoe judgement...subiriMpaka sasa sijaona ushahidi wowote kwamba zilifojiwa, japo mimi sio shabiki wa Ruto ila sababu zozote za kuendelea kuchelewesha uapishwaji wake.
Amani ni ghali sana kuliko unavyofikiri
MK254 54
NAUNGA MKONO hoja yako. Hivi ni saa ngapi supreme court inanguruma??Kuna tofauti kati ya "amani" na "utulivu", kwa mfano kwenu huko Tanzania kuna "utulivu" ila sio amani, maana nakumbuka wengi mlilalamika sana kuhusu figisu za uchaguzi wa 2020.
Naomba haki itendeke ili Kenya tupate amani ya kweli inayozidi utulivu, binafsi hadi hapo sijaona ushahidi wa wizi wowote uliotendeka, sema kulikua na kasoro hapa na pale, ila tusubiri wataalam watolee muongozo wa kisheria, uzuri pande zote mbili zimekubali kuheshimu maamuzi ya kimahakama.
Kama hatua zote za uchaguzi zilikuwa zina kasoro hata matokeo ya mwisho lazima yana kasoro-hiyo ndio principal.Ndo nasema, Mimi sikuona ushahidi wa kutosha kuonyesha kura ziliibiwa. kama mahakama itafanya hesabu tena na igundue labda iebc ilikosea hesabu kwahivyo Ruto hakufikisha zaidi ya 50% , then hii ndo sababu pekee ambayo kulingana na maoni yangu inaweza sababisha watu warudi kupiga kura... lakini si eti kwasababu server zilikua hacked, wala eti fomu ziligeuzwa njiani etc
Kasoro zipo kwenye hatua zoteKasoro zipo kwenye matokeo baada ya kuhesabu.
kura zilizopigwa hazina kasoro.
Tanzania ni amani teleKuna tofauti kati ya "amani" na "utulivu", kwa mfano kwenu huko Tanzania kuna "utulivu" ila sio amani, maana nakumbuka wengi mlilalamika sana kuhusu figisu za uchaguzi wa 2020.
Naomba haki itendeke ili Kenya tupate amani ya kweli inayozidi utulivu, binafsi hadi hapo sijaona ushahidi wa wizi wowote uliotendeka, sema kulikua na kasoro hapa na pale, ila tusubiri wataalam watolee muongozo wa kisheria, uzuri pande zote mbili zimekubali kuheshimu maamuzi ya kimahakama.
Juzi ndg yenu Mahera akakurupuka kuongea ...Hiyo ndo maana halisi ya tume huru ya uchaguzi.
Ukilinganisha na hii NEC ya TANZANIA ndo utaelewa utofauti mkubwa.
Achaneni na huyu Chizi na nyie.Juzi ndg yenu Mahera akakurupuka kuongea ... View attachment 2346329
Huyu ni mjinga kabisa.Juzi ndg yenu Mahera akakurupuka kuongea ... View attachment 2346329