Wakibosho nanyi mna mambo!

Wakibosho nanyi mna mambo!

Oltung'anyi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
284
Reaction score
196
Wewe kama ni mgeni wa majina ya Wakibosho, kuwa makini kidogo. Usishangae kukutana na jina African Masawe ukafikiri ukienda mabara mengine utawakuta akina American Masawe, European Masawe, Asian Masawe, Australian Masawe au British Masawe![emoji13]🤣[emoji3]🤣[emoji23][emoji13]

Masawe ni Masawe tu babaangu! Kwanza hakuna Masawe kutoka mabara mengine. Wameazima mbwembwe kidogo kutoka kwa marafiki zao wahaya! [emoji13][emoji13][emoji13]🤣🤣🤣. Au pengine ni baada ya kusikia kuna Peruvian na Brazilian hair nini? Oteee, ngachoka kabisa jamaniiiii.[emoji13]🤣🤣[emoji13][emoji3][emoji23].
 
Write your reply...aisee watu mnaandika pumba kinoma hivi hauna ubongo kwani braza hicho kichwa ulipewa cha kupigia chabo au?yaani sidhani hata kama ulichoandika utaweza kuelezea
 
Write your reply...aisee watu mnaandika pumba kinoma hivi hauna ubongo kwani braza hicho kichwa ulipewa cha kupigia chabo au?yaani sidhani hata kama ulichoandika utaweza kuelezea
Hahaha, mkuu kwani wewe umeelewa nini. Niambie ulichoelewa ili nikueleweshe zaidi kama hujaelewa nilichoandika.
 
Sijaelewa what u have written her!?
Umewahi kusikia mtu anaitwa African/ Afrikani? Majina haya yapo uchagani na haswa kwa wakibosho. Sasa imagine, kuna African Kisoka, African Chuwa, African Masawe. Ni rahisi kufikiri kuwa wapo na akina European Kisoka, American Masawe, au Brazilian Chuwa!
 
Back
Top Bottom