Wakiiona hii tumeisha!

Street Hustler

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
2,175
Reaction score
4,299


Tuwaambie ilipo au tuache kwa maslai ya Taifa letu.

Hivi kwa Hali ilivyo sasa kununua kichwa Kama hicho na behewa zake inaweza kugharimu kiasi gani.

Mie najua sehemu ilipo na mmiliki pia nabei pia n nzuri Sana.
 
Kama wakiiona hii sijui itakuaje walhah!




Kweli wakiiona hii wataiacha jamani hili limepaki tuu halina inshu Bei yake nimeambiwa Ni yakutupa kabisa mwenye connection aje.

Note:
Nimeifatilia mpaka ilipo injini n nzima na behewa n nzima kabisa shida n hapo mbele tuu pakufanyiwa ukarabati, siti zake n 3x3 kwa kila behewa na view n 2sides, jumla ya behewa 23 Ila behewa tano hazipo vizuri kivile.

Jamani mwenye connection aje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…