Wakikuliza amekwambia nani wajibu jirani yangu Neighbor.

Joined
Jul 28, 2026
Posts
57
Reaction score
115
Kucheza rough kwenye Maisha ni lazima.

Muulize baba yako alimlaghai mama yako ukapatikana wewe.

Watu wengi wanaonekana wabaya virse versa ni watu wema sana.Ila tu ukweli unawaponza .

Dunia Haina huruma ,Wengi wanaoteseka kwenye Maisha wanatafuta Ukweli, Kipato Cha halali na niwaminifu,Wanakesha nyumba za ibada haliyakua viongozi wao tunaloga nao.

Unapoipata nafasi itumie usisubili kesho haijalishi iwe halali au haramu.

Malizia na hii, Masikini ni watu wenye roho Mbaya sana. Chunguza utakuja kunipa majibu.

Ukijalibu kuwa Tatizo kwenye Maisha yatu wanakutatua.
 
Kucheza rough kwenye Maisha ni lazima.
Muulize baba yako alimlaghai mama yako ukapatikana wewe.

Watu wengi wanaonekana wabaya virse versa ni watu wema sana.Ila tu ukweli unawaponza .

Dunia Haina huruma ,Wengi wanaoteseka kwenye Maisha wanatafuta Ukweli, Kipato Cha halali na niwaminifu,Wanakesha nyumba za ibada haliyakua viongozi wao tunaloga nao.

Unapoipata nafasi itumie usisubili kesho haijalishi iwe halali au haramu.

Malizia na hii, Masikini ni watu wenye roho Mbaya sana. Chunguza utakuja kunipa majibu.

ok.,🐒
 
Back
Top Bottom