joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: Sasa hawa Elimu inawasaidia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MY TAKE: Sasa hawa Elimu inawasaidia nini?
Martha Karua asipoingia either UDA au Azimio basi atakuwa amejichanganya. Farasi ni wawili, UDA na Azimio. Hakuna third wing.Chakufanya hapa ni Martha Karua na alliance yake kuingia kwa race officially!
Kwani hiyo ni siasa au ukabila? Tanzania ndio Kuna siasa, Kenya ni ukabila hakuna siasaHahaha. Siasa za Kenya huiwezi wewe. Baki na siasa yenu ya sisiemu.
Kama kawaida yenu, makabila 3 pekee ndio yenye haki ya kuwa raisMartha Karua asipoingia either UDA au Azimio basi atakuwa amejichanganya. Farasi ni wawili, UDA na Azimio. Hakuna third wing.
Makabila zote 44 zimeingia katika hizi vikundi viwili sasa sijui unazungumzia kuhusu ukabila upi? Hata US kuna pande mbili tu Republican na Democrat.Kama kawaida yenu, makabila 3 pekee ndio yenye haki ya kuwa rais
Siasa za Kenya au ukabila wa Kenya?[emoji23][emoji23][emoji23]Achana Na siasa za Kenya huziwezi. Endelea na Huo upuzi wenu wa sisiemu na authoritarian rule.
MY TAKE: Sasa hawa Elimu inawasaidia nini?
Achana Na siasa za Kenya huziwezi. Endelea na Huo upuzi wenu wa sisiemu na authoritarian rule.