Wakikwambia wako tayari kukupenda na umaskini wako kataa kabisa huo mtego, watakusumbua mbeleni

Wakikwambia wako tayari kukupenda na umaskini wako kataa kabisa huo mtego, watakusumbua mbeleni

Ukijiona we maskini hasa wa hela hakuna mwanamke atapoteza muda kwako ..na wala usihangaike nao ..utajitia stress tu
 
... japo 'UTAJIRI' haupaswi kuwa kigezo cha kupendwa lakini kipato cha kuendeshea maisha ni HITAJI LA MAPENZI! ... Utaishi vipi na mtu kwa kumuuzia sura na maneno matupu?
... CHUNGA SANA USIJEBAKI HAKIMU WA KUSEMA WENZA WA WATU HAWAENDANI NAO! TAFUTA PESA!
😅
 
Pesa sio kila kitu Kwenye maisha japo Ni ya muhimu Sana.
 
Uambiwaje sasa wakipenda pesa ni mtego wasipopenda mtego, ishi mwenyewe
 
Back
Top Bottom