Wakili Albert Msando ashikiliwa na Polisi baada ya kutoa taarifa ya hali ya maambukizi ya Corona na kuhamasisha waandishi kuandika ukweli

Wakili Albert Msando ashikiliwa na Polisi baada ya kutoa taarifa ya hali ya maambukizi ya Corona na kuhamasisha waandishi kuandika ukweli

CHINA ILIMBANA DAKTARI ALIYESAMBAZA UJUMBE JUU YA UGONJWA HUU,,, ILI WENZIE WACHUKUE TAHADHARI,,,na Polisi ya China wakampiga Onyo asirudie tabia hiyo ya KUZUA TAHARUKI. Bahati Mbaya ALIFARIKI.... Ila kwasasa Dunia inakiona "ChaMOTO."
IFIKE wakati tujifunze kwa makosa ya WENZETU na USTAARABU mataifa yanayopatia...Inaweza kuchukua muda mchache kumwona MSANDO as a SHUJAA.
TIME IS THE BEST ANSWER
 

Attachments

  • FB_IMG_15882637244090654.jpg
    FB_IMG_15882637244090654.jpg
    378.1 KB · Views: 21
Back
Top Bottom