Waziri2025
Senior Member
- Sep 2, 2019
- 148
- 379
Wakati kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa DC wa Hai, Lengai ole Sabaya na wenzake ,ikielekea ukingoni kumalizika ,imefahamika kwamba wakili wa Sabaya ,Mosses Mahuna anadaiwa kulipwa sh, milioni 80 kumwokoa sabaya.
Pesa hiyo inadaiwa kupitia kwa mpenzi wa sabaya aitwaye Jesca ambaye anadaiwa kuwa ni rubani wa ndege ambaye pia yupo karibu sana na wakili Mahuna.
Katika hatua nyingine Bakari Msangi ambaye ni shahidi wa sita katika kesi hiyo akidai kupigwa na sabaya na kutishiwa kwa silaha,anadaiwa kupokea kiasi cha sh milioni 4 kutoka kwa sabaya ili asishiriki kutoa ushahidi katika kesi hiyo.
Pesa hiyo inadaiwa kutolewa na sabaya kupitia kwa mwenyekiti wa UWT wilaya ya Hai ambaye aliipeleka kwa mdogo wake Bakari ambaye ni meya wa Moshi Juma Shaibu ,hata hivyo Sabaya amemtuma Mwenyekiti hiyo wa UWT kwenda kuidai fedha hiyo kwa sababu mlengwa amewageuka..
Taarifa zimedai kuwa Juma Shaibu ambaye ni rafiki yake sabaya amegeuka mbogo hataki kusikia jambo hilo.