MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Unaweza kumuheshimu mtu sababu ya mawazo yake chanya Ila unajua fika ni masikini wa .....unamuheshimu ila huamini kuwa anaweza kumiliki Airbus😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kumuheshimu mtu sababu ya mawazo yake chanya Ila unajua fika ni masikini wa .....unamuheshimu ila huamini kuwa anaweza kumiliki Airbus😀😀😀
Iko Mirembe siyo? Maliza Kwanza matibabuSIO KOSA MTU KUCHOMA MALI YAKE.
Bashir Yakub, WAKILI
+255714047241
MOSI, ili tukio liwe kosa lazima kuwe na upande ambao umeumizwa/ umekosewa(offended party).
Ukimpiga mtu, ukiiba mali ya mtu, ukichoma ama kuharibu mali ya mtu, anayekuwa amekosewa/ ameumizwa ni huyo mwenye mali yake au huyo uliyemdhuru.
PILI, kosa laziwe liwe na mlalamikaji/mshitaki. Ukiharibu mali yako mwenyewe mlalamikaji/ mshitaki ni nani.
Hata zile kesi za jinai ambazo Jamhuri ndio huwa mshitaki bado kunakuwa na shahidi Namba 1(PW1) ambaye ndiye mtendewa(victim). Na huyu kwao ndiye mshitaki. Kwahiyo mshtaki katika tukio lolote la malalamiko lazima awepo.
TATU, ili kosa likamilike lazima uthibitishe NIA OVU. Hii nia ovu unaipata wapi mtu amechomà mali yake mwenyewe.
NNE, kuchoma mali ni kawaida kwa kila mtu. Nyumbani kwako ukikusanya maplastiki, maredio ya zamani, nguo ambazo hupendi na vitu vingine nyie mnajua ukachoma hizo nazo ni mali. Nani kakwambia mali mpaka iwe gari.
Huko vijijini huchoma ardhi katika namna ya kuandaa mashamba. Ni mali inachomwa hiyo.
NNE, Tanzania hatuna sheria inayoelekeza namna ya kuondokana ama kumalizana na vitu ambavyo hupendi tena kuwa navyo. Nyumba huipendi unaweza kubomoa, samani za ndani umezichoka unaweza kuchoma moto, gari limekuchosha unaweza kuchoma ama kuikata vipuri(spare), ni wewe tu na namna yako.
Ni wewe tu kuamua kipi ukifanye mali ya kutunza na kipi ukifanya taka ya kuondokana nayo.
Labda kosa liwe kuwa Moshi uliotokana na uchomaji umedhuru watu, vinginevyo hata mimi nina mpango wa kuchoma ndege yangu binafsi AIRBUS A220 - 300 na nisisikie kelele zeNYU.
Tatizo watanzania mnawaza ulaji zaidi kuliko uhalisia. Kwa hiyo unataka tupokee matukio ya kisanii bila hata kuhoji? Kichwa changu sibebi nywele pekee mnyampaa!Mkuu umekula kweli mchana? Kwani lazima kutoa zawadi?
KIVipi tenaVyote ni mali ya sirikali!!
Hata ukidakwa unajaribu kujiua ni mahakani
Apo umeondoa uhai wa mtu na ni kosa kuuaJe ukumuua mtoto wako inakuwaje kosa wakati mtoto ni wako
...Hata kama alipewa Zawadi, na hakununua Kwa Pesa' yake ? Yule aliyempa Zawadi je ,??...SIO KOSA MTU KUCHOMA MALI YAKE.
Bashir Yakub, WAKILI
+255714047241
MOSI, ili tukio liwe kosa lazima kuwe na upande ambao umeumizwa/ umekosewa(offended party).
Ukimpiga mtu, ukiiba mali ya mtu, ukichoma ama kuharibu mali ya mtu, anayekuwa amekosewa/ ameumizwa ni huyo mwenye mali yake au huyo uliyemdhuru.
PILI, kosa laziwe liwe na mlalamikaji/mshitaki. Ukiharibu mali yako mwenyewe mlalamikaji/ mshitaki ni nani.
Hata zile kesi za jinai ambazo Jamhuri ndio huwa mshitaki bado kunakuwa na shahidi Namba 1(PW1) ambaye ndiye mtendewa(victim). Na huyu kwao ndiye mshitaki. Kwahiyo mshtaki katika tukio lolote la malalamiko lazima awepo.
TATU, ili kosa likamilike lazima uthibitishe NIA OVU. Hii nia ovu unaipata wapi mtu amechomà mali yake mwenyewe.
NNE, kuchoma mali ni kawaida kwa kila mtu. Nyumbani kwako ukikusanya maplastiki, maredio ya zamani, nguo ambazo hupendi na vitu vingine nyie mnajua ukachoma hizo nazo ni mali. Nani kakwambia mali mpaka iwe gari.
Huko vijijini huchoma ardhi katika namna ya kuandaa mashamba. Ni mali inachomwa hiyo.
NNE, Tanzania hatuna sheria inayoelekeza namna ya kuondokana ama kumalizana na vitu ambavyo hupendi tena kuwa navyo. Nyumba huipendi unaweza kubomoa, samani za ndani umezichoka unaweza kuchoma moto, gari limekuchosha unaweza kuchoma ama kuikata vipuri(spare), ni wewe tu na namna yako.
Ni wewe tu kuamua kipi ukifanye mali ya kutunza na kipi ukifanya taka ya kuondokana nayo.
Labda kosa liwe kuwa Moshi uliotokana na uchomaji umedhuru watu, vinginevyo hata mimi nina mpango wa kuchoma ndege yangu binafsi AIRBUS A220 - 300 na nisisikie kelele zeNYU.
Upo sahihi Yakub kuna mwanasheria mmoja pale Arusha amekurupuka kweli bila kujiridhisha akataja kifungu cha 319 cha sheria ya Kanuni ya adhabu. Tena yupo public hatare sanaSIO KOSA MTU KUCHOMA MALI YAKE.
Bashir Yakub, WAKILI
+255714047241
MOSI, ili tukio liwe kosa lazima kuwe na upande ambao umeumizwa/ umekosewa(offended party).
Ukimpiga mtu, ukiiba mali ya mtu, ukichoma ama kuharibu mali ya mtu, anayekuwa amekosewa/ ameumizwa ni huyo mwenye mali yake au huyo uliyemdhuru.
PILI, kosa laziwe liwe na mlalamikaji/mshitaki. Ukiharibu mali yako mwenyewe mlalamikaji/ mshitaki ni nani.
Hata zile kesi za jinai ambazo Jamhuri ndio huwa mshitaki bado kunakuwa na shahidi Namba 1(PW1) ambaye ndiye mtendewa(victim). Na huyu kwao ndiye mshitaki. Kwahiyo mshtaki katika tukio lolote la malalamiko lazima awepo.
TATU, ili kosa likamilike lazima uthibitishe NIA OVU. Hii nia ovu unaipata wapi mtu amechomà mali yake mwenyewe.
NNE, kuchoma mali ni kawaida kwa kila mtu. Nyumbani kwako ukikusanya maplastiki, maredio ya zamani, nguo ambazo hupendi na vitu vingine nyie mnajua ukachoma hizo nazo ni mali. Nani kakwambia mali mpaka iwe gari.
Huko vijijini huchoma ardhi katika namna ya kuandaa mashamba. Ni mali inachomwa hiyo.
NNE, Tanzania hatuna sheria inayoelekeza namna ya kuondokana ama kumalizana na vitu ambavyo hupendi tena kuwa navyo. Nyumba huipendi unaweza kubomoa, samani za ndani umezichoka unaweza kuchoma moto, gari limekuchosha unaweza kuchoma ama kuikata vipuri(spare), ni wewe tu na namna yako.
Ni wewe tu kuamua kipi ukifanye mali ya kutunza na kipi ukifanya taka ya kuondokana nayo.
Labda kosa liwe kuwa Moshi uliotokana na uchomaji umedhuru watu, vinginevyo hata mimi nina mpango wa kuchoma ndege yangu binafsi AIRBUS A220 - 300 na nisisikie kelele zeNYU.
Kwani mkuu hujui kwamba bongo ni ya MAKIKi.Kwani jamaa angechoma ile gari kimya kimya ingekuwaje,naona nae alitaka attention tu
Yeah hakuwa na sababu ya kuipublish mitandaoni. Sasa hv kajitengenezea bifu na mshua ambalo ni very unnecessaryKwani jamaa angechoma ile gari kimya kimya ingekuwaje,naona nae alitaka attention tu
Mkuu vipi kuhusu yule jamaa wa Kigamboni aliyemchoma mke wake kwa mkaa anaweza kuachiwa huru?SIO KOSA MTU KUCHOMA MALI YAKE.
Bashir Yakub, WAKILI
+255714047241
MOSI, ili tukio liwe kosa lazima kuwe na upande ambao umeumizwa/ umekosewa(offended party).
Ukimpiga mtu, ukiiba mali ya mtu, ukichoma ama kuharibu mali ya mtu, anayekuwa amekosewa/ ameumizwa ni huyo mwenye mali yake au huyo uliyemdhuru.
PILI, kosa laziwe liwe na mlalamikaji/mshitaki. Ukiharibu mali yako mwenyewe mlalamikaji/ mshitaki ni nani.
Hata zile kesi za jinai ambazo Jamhuri ndio huwa mshitaki bado kunakuwa na shahidi Namba 1(PW1) ambaye ndiye mtendewa(victim). Na huyu kwao ndiye mshitaki. Kwahiyo mshtaki katika tukio lolote la malalamiko lazima awepo.
TATU, ili kosa likamilike lazima uthibitishe NIA OVU. Hii nia ovu unaipata wapi mtu amechomà mali yake mwenyewe.
NNE, kuchoma mali ni kawaida kwa kila mtu. Nyumbani kwako ukikusanya maplastiki, maredio ya zamani, nguo ambazo hupendi na vitu vingine nyie mnajua ukachoma hizo nazo ni mali. Nani kakwambia mali mpaka iwe gari.
Huko vijijini huchoma ardhi katika namna ya kuandaa mashamba. Ni mali inachomwa hiyo.
NNE, Tanzania hatuna sheria inayoelekeza namna ya kuondokana ama kumalizana na vitu ambavyo hupendi tena kuwa navyo. Nyumba huipendi unaweza kubomoa, samani za ndani umezichoka unaweza kuchoma moto, gari limekuchosha unaweza kuchoma ama kuikata vipuri(spare), ni wewe tu na namna yako.
Ni wewe tu kuamua kipi ukifanye mali ya kutunza na kipi ukifanya taka ya kuondokana nayo.
Labda kosa liwe kuwa Moshi uliotokana na uchomaji umedhuru watu, vinginevyo hata mimi nina mpango wa kuchoma ndege yangu binafsi AIRBUS A220 - 300 na nisisikie kelele zeNYU.
Wewe ni nomaKatika muktadha wa Tanzania, kuchoma gari lako mwenyewe kunaweza kuhusisha masuala kadhaa ya kisheria. Ingawa umiliki wa mali binafsi unalindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 24(1), ambayo inasema kila mtu anayo haki ya kumiliki mali na haki ya hifadhi kwa mali yake aliyonayo kwa mujibu wa sheria , hii haimaanishi kuwa mmiliki anaweza kufanya lolote na mali hiyo bila kujali sheria nyingine.
Sheria ya Kanuni za Adhabu, Sura ya 16 (Penal Code, Cap 16) inaeleza makosa yanayohusiana na uchomaji moto kwa makusudi (arson). Kifungu cha 319 kinafafanua kuwa ni kosa la jinai kuchoma moto mali yoyote, ikiwa ni pamoja na mali yako mwenyewe, endapo kitendo hicho kinaweza kuhatarisha maisha ya watu wengine au mali zao.
Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya mwaka 2004 (Environmental Management Act, 2004) inakataza uchafuzi wa mazingira kwa njia yoyote ile. Kuchoma gari kunaweza kusababisha utoaji wa gesi hatarishi na uchafuzi mwingine wa mazingira, hivyo kuvunja sheria hii.
Sheria ya Bima (Insurance Act) inahusisha makosa ya udanganyifu, ambapo kama mmiliki wa gari atachoma gari lake kwa makusudi ili kudai fidia kutoka kwa kampuni ya bima, kitendo hicho kitachukuliwa kama udanganyifu na ni kosa la jinai.
Kwa kuzingatia haya, ni muhimu kutafuta njia mbadala na salama za kuondoa gari ambalo halitumiki, kama vile kuuza kwa wafanyabiashara wa vyuma chakavu au kufuata taratibu rasmi za kisheria za uteketezaji wa magari. Hii itakusaidia kuepuka matatizo ya kisheria na kulinda mazingira pamoja na usalama wa jamii inayokuzunguka.
Kuchoma gari lako mwenyewe kunaweza pia kuhusishwa na makosa mengine, kutegemea mazingira ya tukio. Hapa kuna makosa mengine yanayoweza kufuatia:
1. Kuchochea Moto kwa Makusudi: Hili ni kosa la jinai linalotokana na kuchoma moto mali yoyote, hata ikiwa ni ya kwako, ikiwa moto huo unaweza kuathiri usalama wa wengine au mali zao.
2. Kuhatarisha Usalama wa Umma: Ikiwa kitendo hicho kinahatarisha maisha ya watu, kama vile kusababisha mlipuko, moshi hatari, au ajali za moto, hilo linaweza kuhesabika kama kosa la kuhatarisha usalama wa umma.
3. Uvunjaji wa Sheria za Mazingira: Gari lina vipengele kama plastiki, mafuta, na betri ambazo zikichomwa hutengeneza taka hatarishi, hivyo kuvunja sheria za hifadhi ya mazingira.
4. Uharibifu wa Miundombinu ya Umma: Ikiwa gari limechomwa karibu na barabara, majengo, au miundombinu mingine, moto unaweza kuenea na kusababisha uharibifu wa mali ya umma, jambo linaloweza kupelekea kushtakiwa.
5. Uchafuzi wa Hewa: Katika baadhi ya maeneo, sheria za kudhibiti uchafuzi wa hewa zinaweza kuzuia vitendo kama hivyo.
6. Kuzua Hofu au Taharuki: Tukio la moto linaweza kusababisha taharuki miongoni mwa watu waliopo karibu, na katika baadhi ya maeneo, hili linaweza kuhesabika kama kosa la jinai.
Tutakushughulikia kisawasawa pesa sio yako hata km umehifadhi bankMkuu,
Kwaio nikitaka kuchoma pesa zangu nilizo zitolea jasho siwezi kushughulikiwa..
Yaan nichukue pesa nachukua kibiriti naanza kuzichoma moto.
Ufafanuzi.