Wakili best wa kesi za Ardhi anahitajika...

Naomba kama kuna wakili mkali mwenye rekodi ya uhakika ya kesi za Ardhi nitajiwe hapa ...nna ndugu Wana kesi za Ardhi zinawasumbua sana...
Natanguliza shukran
Victor Kikwasi. Yupo Law Associate Advocates. (Azikiwe Street)
Jonas Kilimba yupo Taslima Law Chambers (Livingstone and Aman street)
Mashaka Ngole ( Ngole Law Chambers) Azikiwe street
 
Hawa unawapanga vipi yupi wa kwanza yupi WA pili n.k
 
Msaada wangu kwako ni majina ya Mawakili
Nashukuru but Kwa uzoefu unaweza sema huyu mmoja mzoefu zaidi...kama ambavyo mmoja umemtaja kwenye criminals zaidi etc
 
Hapo futa Jonas,
1.Twah Issa Taslima(Mwandamizi)
2.Mashaka Ngole
3. Victor Kikwasi.
 
Back
Top Bottom