Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

Jibu hiyo ya kwanza tu
 
Uoga na amani za kipumbavu ipo siku vitakoma
 

Kiburi si maungwana. Kuna wakati hekima inatutaka tuwe tunasikiliza
 

Hawa mawakili wakati Baba yao Nyerere na Watanganyika wenzake walipotuvamia na kuuwa watu kwa maelfu na kila uchaguzi kuuwa watu hatuwasikii kusema kitu , Leo amekuwa mkali kwa ka bandari
Wakati Zanzibar imepoteza uhuru wake na kiti chake UN. Mkuki ni kwa nguruwe tu
 
Katiba yetu ndiyo inasema hayo uliyoyaandika hapo chini au umetoa maoni yako kuhusu katiba inavyotakiwa kuwa?
Katiba ni dynamic, katiba iliyopo haijajizuia kuingiziwa mapatano mapya.
Ya sasa hijasema hivo, ila unaweza kuyapima kwa akili yako yenye protin ililokuzwa katika vyakula bora vilivyoboreshwa kutokana na ukuaji wa upeo wa walimwengu katika kuboresha bustani zao za virutubisho.
 
Tunaitaka Tanganyika yetu
Huko ccm wamejazana wazanzibari aafu wanajadili kuuza bandari za Tanganyika
 
🙏🙏🙏Ndugu mbeya hajawahi zaliwa kilaza,tulia mwenyewe anajisikia aibu kwa aliyoyabariki,hata ngoma zake saivi kamute,anasoma upepo,tulia mwalimu wangu jitafakari upya🙏nakuita mwalimu wangu kwakua walonifundisha ulikuwa intake moja na wewe🙏
 
Mwabukusi anachezea Simba sharubu. Atakipata anachokitafuta.
Hakuna atakachokipata 🙏mark my words,Kuna kundi kubwa la #team mwakabusi hadi nje ya nchi,wamguse waone🙏mbeya pride🙏🙏huyo siyo mkimbia shule kama tapel mwamposa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 

Kila mwenye pumzi apinge huu mkataba kwa njia yeyote hawajamaa wanatumia nguvu nyingi sana kujitetea tusuliukubali huu mkataba Asilani
 
hili sasa ndiyo bandiko. ila huu mkataba hahaha. eti hauhusiani na bandari za zanzibar. bull sheeeet.
 
Walume 😛 , kaongeze elimu kidogo au utajikuta unauza mitumba Manzese
Hiyo ndio kazi yangu ya halali kabisa. Utakaaje Manzese usiuze mitumba. Hiyo Elimu aliyoongeza imekusaudia nini zaidi ya kuja kupiga umbea humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…