Wakili Boniface Mwabukusi: Montevideo Convention na Vienna laws to Treaty hairuhusu Dubai kuingia mkataba na nchi yoyote

Hivi nyie Polisi wa Samia mna nini lakini? Kwanini mnahalalisha maneno ya shombo katika zama hizi?
 
Nyumbu wanahangaikaaaa!
Kampeni yao ya uzushi imebuma kwa kasi
 
ameongea vizuri sana, ila sijapenda matusi. pale alipitiliza mstari. mimi ni sapota wake ila naomba ili aendelee kupendwa zaidi asiwe anatukana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…