GE2025 Wakili Boniface Mwabukusi: Zuio la CHADEMA kutoongea na wanahabari sio sahihi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kutofautiana na maamuzi ya Mahakama yaliyotangazwa mapema leo na Wakili Mwenzake Shaaban Marijani anayesimamia Kesi dhidi ya Chadema yenye kutaka mgawanyo sawa wa rasilimali za Chama hicho kwa upande wa Bara na Zanzibar, aliyesema kuwa zuio la Mahakama la Chadema kutoshiriki shughuli za kisiasa nchini linalotokana na kesi hiyo linahusisha pia Viongozi wa Chama hicho nchi nzima kutozungumza na Vyombo vya habari.

Wakili Marijani akizungumza na Vyombo vya habari Jijini Dar Es Salaam leo Julai 17, 2025 alieleza kwamba katika zuio la Mahakama, viongozi wa Chadema wakitaka kuzungumza na Vyombo vya habari hawapaswi kuzungumzia masuala ya chama chao, bali labda waeleze masuala mengine yasiyohusiana na siasa na zuio la Mahakama lenye namba 8960/2025.

Aliwataja Viongozi hao kuwa ni Bodi ya wadhamini Chadema, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Kaimu Mwenyekiti wa Chadema na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara na Zanzibar.Wengine ni Katibu Mkuu au Kaimu Katibu Mkuu, Kaimu Katibu Mkuu au Naibu Katibu Mkuu wa Bara na Zanzibar sambamba na Viongozi wote katika ngazi zote iwe za Viongozi walioteuliwa au wanaokaimu nafasi zao ama wakala yeyote anayefanya kazi kwaniaba ya Chadema.

Kupitia Ukurasa wake wa X, Wakili Mwabukusi ameandika kusema "Hili litakuwa ni zuio la kipekee kabisa la Upande Mmoja kuwahi kuliona katika Nchi za Common Law? Zuio kazi yake ni kumaintain status quo, siyo kuua na kufuta uwepo wa Taasisi. Mgawo wa matumizi ya Zanzibar una uhusiano gani na Mkutano wa wanachama wa Busokelo? Tandahimba? Longido au Serengeti. Sasa huu ufafanuzi unajitanuaje? kwani Jimbo linawajibikaje na Mgawanyo wa Ruzuku? Halafu kesi ya Hati ya dharura badala ya kusikilizwa kwa dharura mnapata wapi muda wa kuandika ufafanuzi wa Mazuio?" Amehoji Mwabukusi.
Huyo mvuta bangi amekariri tu hajasoma kwa kuelewa. Hajui bila uungwaji wa chama kutoka Zanzibar kinaua uwepo wa chama?
 
1752798904893.jpg
 
Serikali ya kipumbavu sana tuliyonayo. Na mahakama zetu pia ni za kishetani
 
Kuna vitu vinaumiza na kuchoma mioyo ila kwakuwa umezaliwa ktk jamuhuri ya Ukenge unapaswa tu kuugulia kimoyo moyo ukimwachia Mungu achukue tu hatua zake.
 
Piga picha nchi imekumbwa na njaa na walio wengi wanashindwa kupata hela za kununua unga; halafu Mahakama haitoi haki kwa wanaotetea haki.Hiyo picha itakuweje? Kwanini tusitumie neema tuliyonayo kutoa haki? Kwani Chadema ina serkali ya kuifanya mgawanyo wa mali? hiyo ruzuku haikutumika kwendesha chama? Chama kimoja? Uamuzi wa mahakama ni wakugandamiza upande mmoja
 
Back
Top Bottom