PreGE2025 Wakili Edson Kilatu: Maamuzi ya Msajili kwa CHADEMA yamenishtua! Sikutegemea!

PreGE2025 Wakili Edson Kilatu: Maamuzi ya Msajili kwa CHADEMA yamenishtua! Sikutegemea!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Ni jambo ambalo limenishtua ni jambo ambalo sikutegemea kukutana na maamuzi ya namna hiyo hasa nikizingatia nafasi ya Msajili wa vyama vya siasa, yeye ni mlezi wa Demokrasia"- Wakili Edson Kilatu - Mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera.

 
Msajili kalikologa kwa kweli hata huko CCM ndani ndani kuhusu kupita bila kupingwa... sasa katoa precedent kwa wengine kutumia mwanya huo huo...
 
Ule mkutano wa samia kujipisha kuwa mgombea uraisi ni kwa mujibu wa katiba ipi ya ccm???
 
Sijui kwanini Wazazi wa Msajili hawakumtoa kafara akiwa mdogo, leo wangekuwa matajiri sana. What a useless son!
 
"Ni jambo ambalo limenishtua ni jambo ambalo sikutegemea kukutana na maamuzi ya namna hiyo hasa nikizingatia nafasi ya Msajili wa vyama vya siasa, yeye ni mlezi wa Demokrasia"- Wakili Edson Kilatu - Mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera.

CHADEMA Acheni mihemko itisheni kikao cha baraza kuu.

Msajili kasema itisheni baraza kuu akidi itimie mkirudisha hao hao hayo yenu lakini wapitishwe na akidi iliyotima iiidhinishe hizo teuzi zake.Heche aache kupotosha msajili ambayo hakusema

Hakuna mahali msajili kasema mbadilishe au msibadilishe . sipoitisha kitafutwa kweli
 
Back
Top Bottom