Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kabisa na round hii atalinywa hiliMsajili kalikologa kwa kweli hata huko CCM ndani ndani kuhusu kupita bila kupingwa... sasa katoa precedent kwa wengine kutumia mwanya huo huo...
Mzee Mtungi ni kada wa CCM"Ni jambo ambalo limenishtua ni jambo ambalo sikutegemea kukutana na maamuzi ya namna hiyo hasa nikizingatia nafasi ya Msajili wa vyama vya siasa, yeye ni mlezi wa Demokrasia"- Wakili Edson Kilatu - Mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera.
CHADEMA Acheni mihemko itisheni kikao cha baraza kuu."Ni jambo ambalo limenishtua ni jambo ambalo sikutegemea kukutana na maamuzi ya namna hiyo hasa nikizingatia nafasi ya Msajili wa vyama vya siasa, yeye ni mlezi wa Demokrasia"- Wakili Edson Kilatu - Mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera.