Pre GE2025 Wakili Jebra Kambole: Jinsi ilivyo ngumu kumnadi Mbowe; sasa mpitisheni muone itakavyokuwa ngumu kuwanadi wagombea 2025. Mtapita kama mnaaga maiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo.

Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu leo kumnadi Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha watakutana na ugumu huo huo kwa Wananchi katika kuwanadi wagombea wote katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 chini ya MBOWE.

Jebra anasema baada ya hayo kila mtu atapita kwenye Mitandao na mitaani kama anaaga maiti yaani haangalii marambili mbili.

View attachment 3186199
Nashangaa yule jamaa wa ubungo mwenye bichwa kubwa na madevu
Anadhani atapata ubunge wa mezani chini ya mbowe na maridhiano

Ccm wamewahadaa wakahadaika

Bila kumpa lisu usukani aongoze mapambano na ushawishi kwa wananchi cdm. Isahau ubunge
 
Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo.

Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu leo kumnadi Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha watakutana na ugumu huo huo kwa Wananchi katika kuwanadi wagombea wote katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 chini ya MBOWE.

Jebra anasema baada ya hayo kila mtu atapita kwenye Mitandao na mitaani kama anaaga maiti yaani haangalii marambili mbili.

View attachment 3186199
TLS imewashinda sasa mmehamia kwenye siasa!
 
Nimecheka kwa sauti
 
🤣🤣
 
Back
Top Bottom