Pre GE2025 Wakili Joseph Mahando: Kisheria CCM hawajakosea kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea pekee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Wakuu

Wakili wa kujitegemea Joseph Mahando atoa ufafanuzi wa kisheria kwa mujibu wa katiba ya nchi na katiba ya CCM ni kuwa chama hicho hakijakosea hata kidogo kumpitisha Rais Samia kuwa Mgombea pekee wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu 2025 katika ngazi ya urais.

Pia, Soma:
 
kwa mujibu wa kifungu alichokisoma toka kwenye katiba ya ccm ya mwaka 1977 iliyofanyiwa marejeo 2022 unaona kuna ukiukwaji wa katiba?
 
Wakuu

Wakili wa kujitegemea Joseph Mahando atoa ufafanuzi wa kisheria kwa mujibu wa katiba ya nchi na katiba ya CCM ni kuwa chama hicho hakijakosea hata kidogo kumpitisha Rais Samia kuwa Mgombea pekee wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu 2025 katika ngazi ya urais.

Pia, Soma:
Bure kabisa! Huyu ni ama mwanasheria magumashi au mwanasheria chawa. Nomination ni mchakato (sio tukio moja) na huo mchakato unaongozwa na Kanuni za Uongozi na Maadili. Nomination process ndiyo inayovipa vikao vya maamuzi pool ya wanachama wa kuwa considered kupitishwa kugombea.

Moja ya haki za msingi za mwanachama ni haki ya kuchagua kiongozi au kuomba kuchaguliwa kuwa kiongozi. Kwa kumpitisha Samia, Nchimbi na Mwinyi kinyemela, vikao vya maamuzi vya CCM vimesigina haki ya wanachama wengine wote ya kuomba kuchaguliwa kuwa viongozi. Watendaji wa chama walipaswa kukaribisha maombi kutoka kwa wanachama kwa kufungua rasmi dirisha la kuchukua na kurudisha fomu ya kuomba kuchaguliwa kuwa kiongozi. Kilichofanyika ni dangerous political malpractice!
 
Bure kabisa! Huyu ni ama mwanasheria magumashi au mwanasheria chawa. Nomination ni mchakato (sio tukio moja) na huo mchakato unaongozwa na Kanuni za Maadili na Uongozi. Nomination process ndiyo inayovipa vikao vya maamuzi pool ya wanachama wa kuwa considered kupitishwa kugombea.

Huyu ni tapeli hajawahi kushinda kesi yoyote tangu awe Wakili
 
Hawa wanasheria uchwara wala rushwa na wavizia teuzi hakuna wanachokijua. Huyu atakuwa ni miongoni mwa wale wanaoitwa wanasheria chawa: weledi ni sifuri kabisa. Ukimwajiri huyu kama mwanasheria mshauri, ni hasara tupu. Ni aheri umtafute mzee mwenye hekima ambaye hakusomea sheria, atakushahri vizuri kuliko mwanasheria chawa kama huyu.
 
Kwahiyo miaka iliyopita mgombea kuchukua fomu na kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini kumbe ilikuwa kinyume cha utaratibu wa CCM!
 
Back
Top Bottom