Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
@korumba_Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri majibu ya uchunguzi wa madaktari kwa maana marehemu hakuwa anaumwa ugonjwa wowote.Wakili Joseph Masanja wa Babati Mkoani Manyara ambaye alikuwa anasimamia kesi ya Gekul amefariki dunia Desemba 24, 2024.
Global TV, kupitia @korumba_Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri majibu ya uchunguzi wa madaktari kwa maana marehemu hakuwa anaumwa ugonjwa wowote.
Soma Pia: Shauri dhidi ya Mbunge Gekul lasikilizwa Mahakamani, Wakili Madeleka asema DPP hakuwa na Mamlaka ya kufuta kesi
Wakili anajua sheria na mlalamikiwa anajua ndumbaroWakili Joseph Masanja wa Babati Mkoani Manyara ambaye alikuwa anasimamia kesi ya Gekul amefariki dunia Desemba 24, 2024.
Global TV, kupitia @korumba_Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri majibu ya uchunguzi wa madaktari kwa maana marehemu hakuwa anaumwa ugonjwa wowote.
Soma Pia: Shauri dhidi ya Mbunge Gekul lasikilizwa Mahakamani, Wakili Madeleka asema DPP hakuwa na Mamlaka ya kufuta kesi
Wakili Joseph Masanja wa Babati Mkoani Manyara ambaye alikuwa anasimamia kesi ya Gekul amefariki dunia Desemba 24, 2024.
Global TV, kupitia @korumba_Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri majibu ya uchunguzi wa madaktari kwa maana marehemu hakuwa anaumwa ugonjwa wowote.
Soma Pia: Shauri dhidi ya Mbunge Gekul lasikilizwa Mahakamani, Wakili Madeleka asema DPP hakuwa na Mamlaka ya kufuta kesi
@korumba_Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri majibu ya uchunguzi wa madaktari kwa maana marehemu hakuwa anaumwa ugonjwa wowote.
assassination attack by poisoning.Duhu wanasiasa wanaroho mbaya sana...wako tayari kufanya lolote wazidi kuinika mbele ya watu...sidhani kama hata wanaamimi kama Mungu yupo.
Dah R.I.P wakili Masanja, iyo kesi chini ya ground mambo bado mazito.
Duhu wanasiasa wanaroho mbaya sana...wako tayari kufanya lolote wazidi kuinika mbele ya watu...sidhani kama hata wanaamimi kama Mungu yupo.
Ni kesi ya yule mmama ?
Nchi imekaa vibaya hii
Nimetoka kusiliza na mimi pia@korumba_Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri majibu ya uchunguzi wa madaktari kwa maana marehemu hakuwa anaumwa ugonjwa wowote.