TANZIA Wakili kesi ya Gekul afariki dunia Desemba 24, 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wakili Joseph Masanja wa Babati Mkoani Manyara ambaye alikuwa anasimamia kesi ya Gekul amefariki dunia Desemba 24, 2024.

Kupitia Korumba Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri majibu ya uchunguzi wa madaktari kwa maana marehemu hakuwa anaumwa ugonjwa wowote.

Soma Pia: Shauri dhidi ya Mbunge Gekul lasikilizwa Mahakamani, Wakili Madeleka asema DPP hakuwa na Mamlaka ya kufuta kesi

Wakili Joseph Masanja wa Babati Mkoani Manyara ambaye alikuwa anasimamia kesi ya Gekul amefariki dunia Desemba 24, 2024.

Global TV, kupitia @korumba_Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri majibu ya uchunguzi wa madaktari kwa maana marehemu hakuwa anaumwa ugonjwa wowote.

@korumba_Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri majibu ya uchunguzi wa madaktari kwa maana marehemu hakuwa anaumwa ugonjwa wowote.
 
Wakili anajua sheria na mlalamikiwa anajua ndumbaro
 
Duhu wanasiasa wanaroho mbaya sana...wako tayari kufanya lolote wazidi kuinika mbele ya watu...sidhani kama hata wanaamimi kama Mungu yupo.
 
Wakili Joseph Masanja wa Babati Mkoani Manyara ambaye alikuwa anasimamia kesi ya Gekul amefariki dunia Desemba 24, 2024.

Global TV, kupitia @korumba_Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri majibu ya uchunguzi wa madaktari kwa maana marehemu hakuwa anaumwa ugonjwa wowote.

Soma Pia: Shauri dhidi ya Mbunge Gekul lasikilizwa Mahakamani, Wakili Madeleka asema DPP hakuwa na Mamlaka ya kufuta kesi

sumu itakuwa imefanya kazi yake, Urusi style.
 
@korumba_Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri majibu ya uchunguzi wa madaktari kwa maana marehemu hakuwa anaumwa ugonjwa wowote.
Duhu wanasiasa wanaroho mbaya sana...wako tayari kufanya lolote wazidi kuinika mbele ya watu...sidhani kama hata wanaamimi kama Mungu yupo.
assassination attack by poisoning.
 
@korumba_Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri majibu ya uchunguzi wa madaktari kwa maana marehemu hakuwa anaumwa ugonjwa wowote.
Nimetoka kusiliza na mimi pia
 
Kila binaadamu lazima atakufa, haijalishi alikuwa anaumwa au la.
Mbele yetu nyuma yake. R.I.P Wakili.
 
Mawakili wanapitiaga mazito sana, maruweruwe kibaondo maana wakipiga deal wanakula Bata Sana, henken nyingi.
Afu huwezi shindana na mwanamke mwenye cheo na pesa afu ukashinda battle, nyuma Kuna mafaza kibao
 
Back
Top Bottom