JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Huyu Sio Kibatala, anaitwa Wakil Peter Madereka.Kesi ya kuratibu genge la ubakaji kwa kundi na ulawiti inayomkabili Fatma Kigondo maarufu Kama 'Afande', imechukua sura mpya baada ya upande wa waleta maombi kumtaka hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Nyambuli Tungaraja kusaini hati ya mashtaka ili mtuhumiwa aweze kusomewa kesi yake popote alipo.
Duuh,huku tunakoelekea kutakuja kujua maana ya cheo ni dhamana na pia hakuna aliye juu ya Sheria!Viva Tanzania,Viva wapenda HAKI .Kesi ya kuratibu genge la ubakaji kwa kundi na ulawiti inayomkabili Fatma Kigondo maarufu Kama 'Afande', imechukua sura mpya baada ya upande wa waleta maombi kumtaka hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Nyambuli Tungaraja kusaini hati ya mashtaka ili mtuhumiwa aweze kusomewa kesi yake popote alipo.
Unajua unaweza ukajiuliza kwanini inafikia mahali watu wanakubali kushiriki dhambi za watu tena za kipumbavu kama hizi!Huyu Afande analindwa sana.
Any way tuendelee kupaza sauti kiziwi atasikia tu.
Ukiona hivyo ujue wote ni wachafu... wanalindanaUnajua unaweza ukajiuliza kwanini inafikia mahali watu wanakubali kushiriki dhambi za watu tena za kipumbavu kama hizi!
Sababu kwa ukubwa wa hili jambo na namna linavyopigiwa kelele ilibidi hata raisi wa nchi afanye ku-push haki itendeke lakini kimyaaa kama hakuna kilichotokea.
Ana majina mangapi huyu wakili?Kesi ya kuratibu genge la ubakaji kwa kundi na ulawiti inayomkabili Fatma Kigondo maarufu Kama 'Afande', imechukua sura mpya baada ya upande wa waleta maombi kumtaka hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Nyambuli Tungaraja kusaini hati ya mashtaka ili mtuhumiwa aweze kusomewa kesi yake popote alipo.
Soma Pia:
- Wakili Madeleka acharuka 'Kesi ya Afande', ataka akamatwe kwa kukaidi kufika Mahakamani
- 'Afande Fatma' afika Mahakamani, Hakimu aahirisha Kesi ya 'Binti wa Yombo' hadi Oktoba 7, 2024
Rais yupi, huyu huyu bi Urojo? Akilizungumzia hili sakata(I meant hii jinai ya kutisha na kusikitisha ya kumbaka/ kumlawiti binti wa Kitanzania) najirekodi nakunya halafu natuma clip kwenye uzi huu huu.Unajua unaweza ukajiuliza kwanini inafikia mahali watu wanakubali kushiriki dhambi za watu tena za kipumbavu kama hizi!
Sababu kwa ukubwa wa hili jambo na namna linavyopigiwa kelele ilibidi hata raisi wa nchi afanye ku-push haki itendeke lakini kimyaaa kama hakuna kilichotokea.
Uzi ufungweUkiona hivyo ujue wote ni wachafu... wanalindana