Mamlaka hazifuati sheria halaf wanataka wananchi wafuate? Aint no such thingLeo, tarehe 17 Machi 2026, nimemtembelea Tundu Lissu katika Gereza Kuu la Ukonga kwa ajili ya mazungumzo ya kisheria kuhusu mwenendo wa kesi yake.
Hata hivyo, mazungumzo kati yangu na yeye yalifanyika katika mazingira yasiyozingatia faragha inayotakiwa kisheria, kinyume na Kanuni za Usimamizi wa Magereza za mwaka 1968, pamoja na Kanuni za Msingi za Umoja wa Mataifa Kuhusu Wajibu wa Mawakili (UN Basic Principles on the Role of Lawyers) na Kanuni za Umoja wa Mataifa za Viwango vya Chini vya Usimamizi wa Wafungwa (Kanuni za Nelson Mandela) ambazo zinasisitiza kuwa mawasiliano kati ya wakili na mteja yanapaswa kuwa ya faragha.
Suala hili pia ameshalilalamikia mara kadhaa Mahakamani, ikiwemo wakati wa mwenendo wa ukabidhi na wakati wa usikilizwaji wa kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu. Tarehe 24 Februari 2025, wakati wa kuahirishwa kwa kesi hiyo, alikumbushia Mahakama kuhusu suala hili, ambapo kiongozi wa Jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo, Mhe. Jaji Nduguru, alieleza kuwa Mahakama imepokea hoja hiyo na kuwa hatua zingechukuliwa kupitia majaji wanaotembelea magereza.
Hata hivyo, Mhe. Lissu amesema hadi sasa hajaweza kutembelewa na jaji yeyote, hali inayoendelea kuathiri faragha ya mawasiliano kati yake na mawakili wake. Hivyo, ni muhimu hatua stahiki zichukuliwe ikiwa ni pamoja na majaji husika kumtembelea gerezani.
Paul Kisabo (Wakili)
ni muhimu sana usalama wa magereza ukapewa kipaumbele na waTanzania wote,Leo, tarehe 17 Machi 2026, nimemtembelea Tundu Lissu katika Gereza Kuu la Ukonga kwa ajili ya mazungumzo ya kisheria kuhusu mwenendo wa kesi yake.
Hata hivyo, mazungumzo kati yangu na yeye yalifanyika katika mazingira yasiyozingatia faragha inayotakiwa kisheria, kinyume na Kanuni za Usimamizi wa Magereza za mwaka 1968, pamoja na Kanuni za Msingi za Umoja wa Mataifa Kuhusu Wajibu wa Mawakili (UN Basic Principles on the Role of Lawyers) na Kanuni za Umoja wa Mataifa za Viwango vya Chini vya Usimamizi wa Wafungwa (Kanuni za Nelson Mandela) ambazo zinasisitiza kuwa mawasiliano kati ya wakili na mteja yanapaswa kuwa ya faragha.
Suala hili pia ameshalilalamikia mara kadhaa Mahakamani, ikiwemo wakati wa mwenendo wa ukabidhi na wakati wa usikilizwaji wa kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu. Tarehe 24 Februari 2025, wakati wa kuahirishwa kwa kesi hiyo, alikumbushia Mahakama kuhusu suala hili, ambapo kiongozi wa Jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo, Mhe. Jaji Nduguru, alieleza kuwa Mahakama imepokea hoja hiyo na kuwa hatua zingechukuliwa kupitia majaji wanaotembelea magereza.
Hata hivyo, Mhe. Lissu amesema hadi sasa hajaweza kutembelewa na jaji yeyote, hali inayoendelea kuathiri faragha ya mawasiliano kati yake na mawakili wake. Hivyo, ni muhimu hatua stahiki zichukuliwe ikiwa ni pamoja na majaji husika kumtembelea gerezani.
Paul Kisabo (Wakili)
Kinachogomba hapa,sio fadhila au hisani ya Bwana jela, bali sheria inasemaje.ni muhimu sana usalama wa magereza ukapewa kipaumbele na waTanzania wote,
na ni muhimu zaidi maafisa usalama wa magereza kuthibiti mamaluki wa huyo kibaraka korokoroni kujipenyeza na kuharibu utaratibu wa magereza.
mamluki wote wazuiwe ili hatimae waje mitandaoni kutafuta tension useless na public sympathy nonsense.
lazima pawepo adabu nchi hii,
hakuna sheria inayoruhusu mamaluki kama huyo mtafuta kiki kujazana magereza gentlemanKinachogomba hapa,sio fadhila au hisani ya Bwana jela, bali sheria inasemaje.
Ni kweli mkuu,hakuna sheria inayoruhusu mamaluki kama huyo mtafuta kiki kujazana magereza gentleman
Qmmkni muhimu sana usalama wa magereza ukapewa kipaumbele na waTanzania wote,
na ni muhimu zaidi maafisa usalama wa magereza kuthibiti mamaluki wa huyo kibaraka korokoroni kujipenyeza na kuharibu utaratibu wa magereza.
mamluki wote wazuiwe ili hatimae waje mitandaoni kutafuta tension useless na public sympathy nonsense.
lazima pawepo adabu nchi hii,
"kusitisha uhuni wa serikali". Serikali ipi unaizungumzia mkuu 'resi'?Watanzania tuamke tufanye kitu kusitisha huu uhuni wa serikali.
Ni kweli mkuu,
Utaratibu upo hivyo kwa watu wote, hata nje ya nchi.
Huwezi ongea na mahabusu au mfungwa bila presence ya afisa magereza.
Hawa wanatafuta Kiki tu.
ni muhimu sana usalama wa magereza ukapewa kipaumbele na waTanzania wote,
na ni muhimu zaidi maafisa usalama wa magereza kuthibiti mamaluki wa huyo kibaraka korokoroni kujipenyeza na kuharibu utaratibu wa magereza.
mamluki wote wazuiwe ili hatimae waje mitandaoni kutafuta tension useless na public sympathy nonsense.
lazima pawepo adabu nchi hii,
Hapa na pale,ni muhimu sana usalama wa magereza ukapewa kipaumbele na waTanzania wote,
na ni muhimu zaidi maafisa usalama wa magereza kuthibiti mamaluki wa huyo kibaraka korokoroni kujipenyeza na kuharibu utaratibu wa magereza.
mamluki wote wazuiwe ili hatimae waje mitandaoni kutafuta tension useless na public sympathy nonsense.
lazima pawepo adabu nchi hii,
UCD ASSHOLEni muhimu sana usalama wa magereza ukapewa kipaumbele na waTanzania wote,
na ni muhimu zaidi maafisa usalama wa magereza kuthibiti mamaluki wa huyo kibaraka korokoroni kujipenyeza na kuharibu utaratibu wa magereza.
mamluki wote wazuiwe ili hatimae waje mitandaoni kutafuta tension useless na public sympathy nonsense.
lazima pawepo adabu nchi hii,
Ona hili shetani punguani Tlaaltlaah lisivyojitambua!! Wenzake wanaongelea ulinzi wa sheria, lenyewe linabwabwaja,mambo yasiyoeleweka.ni muhimu sana usalama wa magereza ukapewa kipaumbele na waTanzania wote,
na ni muhimu zaidi maafisa usalama wa magereza kuthibiti mamaluki wa huyo kibaraka korokoroni kujipenyeza na kuharibu utaratibu wa magereza.
mamluki wote wazuiwe ili hatimae waje mitandaoni kutafuta tension useless na public sympathy nonsense.
lazima pawepo adabu nchi hii,
TULIZA PEPO LA MIHEMKO GENTLEMAN,Ona hili shetani punguani Tlaaltlaah lisivyojitambua!! Wenzake wanaongelea ulinzi wa sheria, lenyewe linabwabwaja,mambo yasiyoeleweka.