Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakili Paul Kisabo amesema wamefanikiwa kumdhamini Wakili Peter Madeleka ambaye alikamatwa kwa tuhuma za kudharau amri ya mahakama.
Wakili Kisabo amesema pamoja na kufanikiwa kumdhamini, wameshindwa kuondoka naye baada ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Kanda Maalun (ZCO) kuwaeleza kuwa Madeleka atarejeshwa nyumbani kabla ya saa 6 usiku.
Soma > Polisi: Tunamhoji Peter Madeleka kwa Tuhuma za kudharau amri ya Mahakama Kuu
Sauti: MwanaHalisi Digital