Wakili Kisabo: Tumemdhmini Madeleka, ila hatujaondoka naye. ZCO amesema Polisi watamrejesha nyumbani kabla ya saa 6

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakili Paul Kisabo amesema wamefanikiwa kumdhamini Wakili Peter Madeleka ambaye alikamatwa kwa tuhuma za kudharau amri ya mahakama.

Wakili Kisabo amesema pamoja na kufanikiwa kumdhamini, wameshindwa kuondoka naye baada ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Kanda Maalun (ZCO) kuwaeleza kuwa Madeleka atarejeshwa nyumbani kabla ya saa 6 usiku.

Soma > Polisi: Tunamhoji Peter Madeleka kwa Tuhuma za kudharau amri ya Mahakama Kuu


Your browser is not able to display this video.
Sauti: MwanaHalisi Digital
 
Daah hawa jamaa sijui wanawaza nini aise muda wote wanatamani Nchi isiwe katika amani kila kukicha wapo na hili mara lile huku Wachina/ wazungu wakiondoka na mali harafu sisi tupo busy na kesi zisizo na kichwa wala miguu..
 
Mwenzaooʻo huyoooo......slikuwa depo moja neoooo...
 
Madeleka awe pot au sijui kichomi darasa lake linasomeka vyema kitaa. Chukua maarifa achana na mengine
 
Madeleka awe pot au sijui kichomi darasa lake linasomeka vyema kitaa. Chukua maarifa achana na mengine
Malendeka anawauza hawa jamaa bila kujijua eti watampeleka home hahaha

USSR
 
Tutaendelea kupata darasa la sheria kupitia kwa Madeleka na Lissu.
si huwa mnasema madeleka ni mtu wa mfumo kwa sababu alikuwa askari polisi
leo mtu wa mfumo amegeuka kuwa mtoa darasa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…