Wakili kutoka Tanzania Rahima Njaidi ashinda Tuzo ya Tusk 2025

Wakili kutoka Tanzania Rahima Njaidi ashinda Tuzo ya Tusk 2025

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Wakili na mtetezi wa uhifadhi wa misitu, Rahima Njaidi, ametunukiwa Tuzo ya Tusk ya Uhifadhi wa Afrika ya 2025 kutokana na mchango wake mkubwa katika kuimarisha uhifadhi unaoendeshwa na jamii nchini Tanzania.

Prince William aliikabidhi tuzo hiyo mjini London katika hafla ya Tusk Conservation Awards. Njaidi ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa MJUMITA, mtandao pekee wa kitaifa unaosaidia jamii kulinda misitu. Kupitia programu zao, zaidi ya watu 49 elfu wamepata mafunzo kuhusu usalama wa ardhi, maisha mbadala na usimamizi wa misitu.

Akipokea tuzo hilo, Njaidi alisema ni nguvu mpya kwa juhudi zao za kuhakikisha jamii ndiyo mhimili wa uhifadhi na maendeleo endelevu.

======================================

Rahima Njaidi, a pioneering lawyer and leading advocate of community-led forest conservation, has been awarded the prestigious 2025 Tusk Award for Conservation in Africa.

Presented by Prince William at the 13th annual Tusk Conservation Awards in London on Wednesday, it recognises her transformative work empowering thousands of people across rural Tanzania to restore forests, secure land rights, and improve livelihoods.

A press statement by the Tusk Conservation Awards stated that Njaidi, the founder and Executive Director of the Community Forest Conservation Network of Tanzania (MJUMITA), leads Tanzania’s only nationwide community forest conservation network. More than 49,000 people—many of them women and marginalised groups—have been trained and supported through MJUMITA’s programmes. These efforts have helped communities secure land tenure, adopt sustainable livelihood models, and implement forest management systems that both protect biodiversity and improve household incomes.

This award is both humbling and deeply inspiring,” Njaidi said during the ceremony. “It affirms the efforts of my colleagues and I, working tirelessly to ensure that communities are at the heart of forest management and conservation. Let this award stand as a reminder that investing in communities is investing in conservation, resilience, and hope.”
 
Back
Top Bottom