Wakili LIVINO: Sasa ni wazi Mbowe ni Kaburi rasmi la CHADEMA , Mbowe ndio mauti ya Upinzani wa Tanzania

PiedPiper77

Senior Member
Joined
Jan 8, 2025
Posts
146
Reaction score
196
Anaandika Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzània Livino

==
UZIMA NA MAUTI: UNACHAGUA NINI?

(Maalumu kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu - CHADEMA 2025)

Chagueni hivi leo mtajayemtumikia. YOSHUA 24:15.

1. FREEMAN MBOWE ni KABURI la CHADEMA. Mbowe ni Mauti ya Upinzani:

Chagua Mbowe; uvune mauti na kaburi la CDM. Ni kifo cha siasa za Upinzani. Umechagua mateso endelevu ya Wananchi. Utakuwa umewazika Wananchi wa Tanzania katika Kaburi la Halaiki.

Ukichagua Mbowe; umechagua kuitumikia CCM, kuipa mizizi ya kutawala bila Upinzani kwa miaka 65 ijayo kuanzia tarehe 22.01.2025.

Na utalaaniwa wewe ni kizazi chako. Watakulaani Watanzania, atakulaani Mungu Muumbaji. Utalaaniwa kwa JINA LA YESU, na utalaaniwa kwa JINA LA MTUME MUHAMMAD (S.A.W). MUNGU atakutia alama katika utosi wako, utaishi kwa kutangatanga kama KAINI aliyemuua nduguye Abel/Habil. MWANZO 4:11-15.

2. TUNDU LISSU ni UZIMA wa CHADEMA. Lissu ni Ufufuo na Uamsho (Resurrection and Revival):

Chagua Tundu Lissu uvune Ukombozi wa Chama, Ufufuo na Uamsho mpya.

Chama kitazaliwa upya, kitapokea Ubatizo mpya na tutaongoka pamoja kama Jamii mpya.

CHAMA kipo kwenye jaribio zito la kuangukia kaburini, Lissu amejitokea kukiokoa kiwe salama. Anasaidiana na Heche.

Shiriki sakramenti/Ibada takatifu ya kukitendea Haki CHAMA na WATANZANIA kuendelea kuhudumiwa na Chama chenye usafi na uadilifu.

Ukimchagua Lissu utaingia kwenye historia ya Mashujaa waliosimama imara katika janga kubwa tishio la uhai, mkasimama kuokoa maisha ya Chama.

Utatembea Kifua mbele. Utapata thawabu duniani na Mbinguni.

Utabarikiwa na Watanzania, utabarikiwa na Mungu. Utaneemeshwa mjini na mashambani.

✍🏼 Usichague Mauti; jiunge na Wauaji wa Chama - Mbowe, Boni, Yeriko, Naftal, Ntobi, Sugu, Mungai, Wenje na wengine wanaofuata Tamaa za Mwili - wapenda Pesa.

"Kwa maana kupenda sana pesa ni chanzo cha uovu wote." 1TIMOTHEO 6:10.

ENYI WAJUMBE:
Kesheni kukilinda chama, simameni imara katika Imani ya Chama, fanyeni kiume kupinga dhulma na hujuma dhidi ya chama, mkawe hodari kupambana. Mambo yenu yote na yatendeke katika upendo kwa Watanzania na Chama chetu kizuri kimbilio la wote. 1WAKORINTHO 16:13.

PIGA KURA YA UKOMBOZI!
 
Mawakili wamejitoa sana ufahamu kwenye hili la Chadema. How come, Mbowe ndio awe kielelezo cha Upinzani? Upinzani ni jambo la asili.
 
Wakili wa konyo, mtu akupe jambo lake la kisheria kama hutalivuruga, hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom