kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
SIku zote muda unaongea!Matokeo tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIku zote muda unaongea!Matokeo tayari
DPP kashaifuta, chupa ya soda imebaki na "TAMU"Kuna move Madeleka anacheza na serikali kwa mgongo wa wanaharakati na uwakili. Kesi ya Gekul ilikuwa inafanyiwa uchunguzi na jeshi la polisi Nchini. Tukaambiwa jalada limepelekwa kwa DPP; siku taarifa zinatoka Madeleka akasema anataka kufungua kesi dhidi ya Gekul. DPP kaanza kupiga dana dana no updates hadi leo.
Tunafahamu mahakama zetu kwamba zinaendeshwa na wishes za serikali. Haiwezekani DPP akae kimya hakimu ajitutumue kuruhusu Mbunge aitwe mahakamani. Kesi imeisha hii, mnyonge hana haki Tanzania .
Lakini pia ukiangalia mchezo anaocheza Madeleka unabaini system inamlipa. Juzi tumeona anatupia mtandaoni barua za wateja wake kwamba wameonewa na mfumo ila hakuna kesi aliyofungua kuwasaidia wateja wake.
Natabiri huyu kiumbe kaeni naye kwa akili hasa mawakili wenzake. Achelewi kuchota taarifa zenu nakuzipeleka kwingine
Sijawahi kuamini kwamba polisi anaishiwa tamaaaa. Huyu ni Polisi tusimwamini maana naye anamahitaji ya mookoto na madaraka.
hivi kweli ninyi mnamwamini mtu aliyekuwa polisi mwenye cheo cha inspector akaacha, kweli polisi wa umri ule hua anaacha kuwa mtiifu kwa serikali kirahisi namna hiyo?wakati anajua madhara yanayoweza kumpata? watanzania rahisi sana kudanganyika. madeleka alishakuwa polisi akaacha, na pia ni kilaza mno wa sheria.Kuna move Madeleka anacheza na serikali kwa mgongo wa wanaharakati na uwakili. Kesi ya Gekul ilikuwa inafanyiwa uchunguzi na jeshi la polisi Nchini. Tukaambiwa jalada limepelekwa kwa DPP; siku taarifa zinatoka Madeleka akasema anataka kufungua kesi dhidi ya Gekul. DPP kaanza kupiga dana dana no updates hadi leo.