Huyu bado amelewa pombe za ofa..Sehemu ya mazungumzo na Wakili Peter Madeleka ambaye ni Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia chama cha ACT-Wazalendo, na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kivule 2025 - 2030 kuhusu sababu iliyomwondoa CHADEMA.
CHADEMA walisema hawangeshiriki uchaguzi mkuu na kutoa wito wa mabadiliko fulani ya Sheria na Kanuni zinazosimamia mchakato huo.
View attachment 3470370
Chanzo: Bongo Fm
Kajibu kisheria sio kianaharakati.Sehemu ya mazungumzo na Wakili Peter Madeleka ambaye ni Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia chama cha ACT-Wazalendo, na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kivule 2025 - 2030 kuhusu sababu iliyomwondoa CHADEMA.
CHADEMA walisema hawangeshiriki uchaguzi mkuu na kutoa wito wa mabadiliko fulani ya Sheria na Kanuni zinazosimamia mchakato huo.
View attachment 3470370
Chanzo: Bongo Fm
NINI HIKI JF KWANN MNAFUTAFU BAADH YA MANDISHMadeleka ni moja ya nyoka akikupa huduma ya uwakili juu ya Kessi anakuwa anakupeleleza,
Kakaa gerezani si Kwakuwa alifungwa noo alikuwa anatumikia kazi ya usalama wa Taifa ndani ya gereza kufuatilia masuala ya ********** na ******** alotumwa na SERIKALI ya awamu ya ***** pia kaeni kwa kumuamini mtaonoa mdhara yake
Britanicca
Tukiwa balanced tu sasa hapo mwandishi si ndo kamuuliza kwan yeye ndo kaanza ongelea CDM?Yeye yuko ACT Wazalendo! Mambo ya CHADEMA hayamhusu. Nadhani angejikita kwenye mambo yanayo mhusu zaidi.
awamu ya tano. alafu pale kwenye nyota kumi ni NGORONGORO na *** hatusaidie mwingine. Kumbukeni madeleka alifungwa Arusha ambaoi ndo kuna issue ya ngorongoro.Madeleka ni moja ya nyoka akikupa huduma ya uwakili juu ya Kessi anakuwa anakupeleleza,
Kakaa gerezani si Kwakuwa alifungwa noo alikuwa anatumikia kazi ya usalama wa Taifa ndani ya gereza kufuatilia masuala ya ********** na ******** alotumwa na SERIKALI ya awamu ya ***** pia kaeni kwa kumuamini mtaonoa mdhara yake
Britanicca
Kichaa.huyuSehemu ya mazungumzo na Wakili Peter Madeleka ambaye ni Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia chama cha ACT-Wazalendo, na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kivule 2025 - 2030 kuhusu sababu iliyomwondoa CHADEMA.
CHADEMA walisema hawangeshiriki uchaguzi mkuu na kutoa wito wa mabadiliko fulani ya Sheria na Kanuni zinazosimamia mchakato huo.
View attachment 3470370
Chanzo: Bongo Fm
South Africa ingekuwa na watu weusi wapumbavu kama huyu, makaburu wa South Africa wangeendelea na apartheid system yao mpaka Yesu atakaporudi.Sehemu ya mazungumzo na Wakili Peter Madeleka ambaye ni Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia chama cha ACT-Wazalendo, na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kivule 2025 - 2030 kuhusu sababu iliyomwondoa CHADEMA.
CHADEMA walisema hawangeshiriki uchaguzi mkuu na kutoa wito wa mabadiliko fulani ya Sheria na Kanuni zinazosimamia mchakato huo.
View attachment 3470370
Chanzo: Bongo Fm