Huyo kwenye picha ndio Jaji yupi
Pia soma:
~ Wakili Peter Madeleka amtumia Ujumbe Tundu Lissu kuhusu kesi ya Dkt. Slaa
~ Mwendelezo wa kesi ya Dkt. Slaa Mahakama Kuu, leo Januari 24, 2025, Wakili Madeleka ataka Mahakama ifute kesi
~ Wakili Madeleka: Kisutu kuna danadana za kumyima haki ya dhamana Dkt. Slaa tumeenda Mahakama Kuu
~ VIDEO: Dkt. Slaa ndani ya Kizimba cha Mahakama Kuu, akikabiliwa na kesi ya kusambaza taarifa za Uongo mtandaoni
Hao wageni wanaenda mahakamani? Tuwe serious basi
Mzee alizingua sana upimzani kwenye uchaguzi wa 2015.Mfumo Haki wa nchi hii una shida.
Ila huyu Mzee na yeye asote kidogo ni zamu yake hii maana wakati Mbowe anasota gelezani huku watu tukipiga makelele kwamba si Gaidi, Mzee alijitokeza akatuambia sisi wananchi tunajuaje kwamba Mbowe si Gaidi? akatushauri tusubiri mahakama iamue kwani mambo mengi sisi hatuyajui, wakati huo akimfurahisha keki ya ubalozi lanukaya aliyozawadiwa na jiwe kwa njia ya kuwasaliti CDM akiwa Katibu Mkuu.
Toka siku hiyo huyu mzee nikajua ni mchumia Tumbo pasee!!
Hii sio sawa.
Pia soma:
~ Wakili Peter Madeleka amtumia Ujumbe Tundu Lissu kuhusu kesi ya Dkt. Slaa
~ Mwendelezo wa kesi ya Dkt. Slaa Mahakama Kuu, leo Januari 24, 2025, Wakili Madeleka ataka Mahakama ifute kesi
~ Wakili Madeleka: Kisutu kuna danadana za kumyima haki ya dhamana Dkt. Slaa tumeenda Mahakama Kuu
~ VIDEO: Dkt. Slaa ndani ya Kizimba cha Mahakama Kuu, akikabiliwa na kesi ya kusambaza taarifa za Uongo mtandaoni
Umevua nguo unataka nikukimbize ili wote tuonekane.........Huna akili.
Huna akiliUmevua nguo unataka nikukimbize ili wote tuonekane.........
KabisaMfumo Haki wa nchi hii una shida.
Ila huyu Mzee na yeye asote kidogo ni zamu yake hii maana wakati Mbowe anasota gelezani huku watu tukipiga makelele kwamba si Gaidi, Mzee alijitokeza akatuambia sisi wananchi tunajuaje kwamba Mbowe si Gaidi? akatushauri tusubiri mahakama iamue kwani mambo mengi sisi hatuyajui, wakati huo yeye akifurahia keki ya ubalozi wa Sweeden aliyozawadiwa na jiwe kwa njia ya kuwasaliti CDM akiwa Katibu Mkuu.
Toka siku hiyo huyu mzee nikajua ni mchumia Tumbo pasee!!
Kwa akili hizi, bora tuendelee kununua magoli ya simba ya yanga . Trump kazia hapo hapo tuendelee kufa kwa ukimwiChadema waliomtuma hata sio agenda kwao kweli kila mchuma janga hula na wa kwao.........!
Hi serikali inapenda kiki sana yaani wameona CDM ina mvuto kuliko serikali na chama chake sasa wana hofu