Pre GE2025 Wakili Madeleka: Dkt. Wilbrod Slaa ataendelea kusota Magereza hadi Januari 30, 2025, kwa sababu; "Kuna ugeni wa Marais"

Pre GE2025 Wakili Madeleka: Dkt. Wilbrod Slaa ataendelea kusota Magereza hadi Januari 30, 2025, kwa sababu; "Kuna ugeni wa Marais"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mfumo Haki wa nchi hii una shida.
Ila huyu Mzee na yeye asote kidogo ni zamu yake hii maana wakati Mbowe anasota gelezani huku watu tukipiga makelele kwamba si Gaidi, Mzee alijitokeza akatuambia sisi wananchi tunajuaje kwamba Mbowe si Gaidi? akatushauri tusubiri mahakama iamue kwani mambo mengi sisi hatuyajui, wakati huo akimfurahisha keki ya ubalozi lanukaya aliyozawadiwa na jiwe kwa njia ya kuwasaliti CDM akiwa Katibu Mkuu.

Toka siku hiyo huyu mzee nikajua ni mchumia Tumbo pasee!!
Mzee alizingua sana upimzani kwenye uchaguzi wa 2015.
Nilimchukia sana na hata anavosota rumande sasa wala simuonei huruma.
 
Nchi ya kisenge saana hii.

Haijalishi mzee slaa alizingua huko nyuma au lah, ila huu mfumo wetu ni wa hovyo unamkera kila mtu, ombea tu yasikufike.
 
Mfumo Haki wa nchi hii una shida.
Ila huyu Mzee na yeye asote kidogo ni zamu yake hii maana wakati Mbowe anasota gelezani huku watu tukipiga makelele kwamba si Gaidi, Mzee alijitokeza akatuambia sisi wananchi tunajuaje kwamba Mbowe si Gaidi? akatushauri tusubiri mahakama iamue kwani mambo mengi sisi hatuyajui, wakati huo yeye akifurahia keki ya ubalozi wa Sweeden aliyozawadiwa na jiwe kwa njia ya kuwasaliti CDM akiwa Katibu Mkuu.

Toka siku hiyo huyu mzee nikajua ni mchumia Tumbo pasee!!
Kabisa
 
Chadema waliomtuma hata sio agenda kwao kweli kila mchuma janga hula na wa kwao.........!
Kwa akili hizi, bora tuendelee kununua magoli ya simba ya yanga . Trump kazia hapo hapo tuendelee kufa kwa ukimwi
 
Huyu mzee mnafiki sana.

Yeye ndiye aliyechangia CCM kuendelea kuwepo madarakani kwenye uchagu,i wa mwaka 2015.
 
Back
Top Bottom