PostGE2025 Wakili Madeleka: Kesi ya Mange siyo halali ni kinyume na sheria

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakili Peter Madeleka akizungumza na DW leo Novemba 4, 2025 ameeleza kuwa kesi ya Mange inayohusu utakatishaji fedha linalohusisha shilingi milioni 138.5 za Tanzania ni kinyume na sheria kwa maana kwamba siyo halali akibainisha sheria ya uhujumu uchumi sura ya 200 huwezi kumshataki mtu ambaye hujamkamata au amejificha ikifafanuliwa katika kifungu cha sheria 24 kwenye vifungu vidogo cha 1,2,3 na 4

Your browser is not able to display this video.
 
Leo tarehe 4 mwezi december sio november, tukirudi kwenye mada utawala wa sheria ni muhimu kwa ustawi wa taifa lolote, ni wazi hapo kuna sheria na vifungu vingi vimekiukwa, sawa na kesi zote zile za kina Niffer zilizofutwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…