Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
huyu wakili mlevi ni wakupuuzwa tu ndugu wadau,Wakili Peter Madelekea amesema akiambiwa anamuamini nani kati ya Rais Samia na Jaji Chande yeye atasema anamwamini Rais Samia
Mimi siwezi kumuamini Chande kwa sababu vyanzo vya taarifa vya Chande haviwezi kuwa sawa na vyanzo alivyokuwa navyo Rais, watu wamevuka mpaka Rais anatuambia kutoka nje ya nchi wameingia ndani ya nchi hii miezi sita kabla ya uchanguzi, vyombo vya dola vimekaa tu Amesema Wakili Madeleka
Soma Pia: Madeleka: Tume ya Jaji Chande haikuwa na mamlaka kisheria kumwamrisha pathologist kuchunguza miili ya waliokufa kwa mashaka
Tahira lingine hili hapa, kuna mlevi na mropokaji zaidi ya huyo aliyesema waliotekeleza mauni wametoka nje ya mipaka ya nchi?huyu wakili mlevi ni wakupuuzwa tu ndugu wadau,
uropokaji wake umejaa unafiki mwingi siku zote
usipanic basi gentleman,Tahira lingine hili hapa, kuna mlevi na mropokaji zaidi ya huyo aliyesema waliotekeleza mauni wametoka nje ya mipaka ya nchi?
Kuna mrevi zaidi yako usijitambua?
Rais wako ndo aliyasema hayo ambayo amerejea wakili mlevihuyu wakili mlevi ni wakupuuzwa tu ndugu wadau,
uropokaji wake umejaa unafiki mwingi siku zote
Anachezea grid.Jamaa anapigisha shoti apo
mbona hamjibu hoja zake gentlemanhuyu wakili mlevi ni wakupuuzwa tu ndugu wadau,
uropokaji wake umejaa unafiki mwingi siku zote