Wakili Madeleka: Paul Chacha anatakiwa kukamatwa kwa Uhaini, kwa Kauli kuhusu Vyombo vya Ulinzi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakili Peter Madeleka ameitaka mamlaka za ulinzi na usalama kumchukulia hatua Chacha kufuatia kauli anazodaiwa kutoa kuhusu umiliki wa vyombo vya ulinzi na usalama. Madeleka amedai kuwa kauli hiyo inaweza kuhusishwa na uhaini, akirejea Ibara ya 147(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayoweka mamlaka ya kuunda au kuweka jeshi nchini chini ya Serikali.

Screenshot_20260616-173300~2.png
 
ok.🐒
 
Mbona aliyewaambia polisi wasiwatafute watu wanaopotea kwani wanao wao
hakufanywa chochote.
 
Lazima ccm wadhibiti vyombo vyote hivyo ili kudhibiti possibility ya Coup attempt...usidhani ni wajinga....
Afu unakuta hao senior figures wa vyombo vya ulinzi maybe kwa kujua au kutojua mawasiliano yao na hata movements zao zinakuwa monitored carefully 😑
 
Naona anaropoka tu!
Kama hatukusika CDF au IGP akitoa tamko kuhusiana na matamshi ya Chacha ujue hiyo imetoka!
 
Wakili Peter Madeleka ameitaka mamlaka za ulinzi na usalama kumchukulia hatua Chacha kufuatia kauli anazodaiwa kutoa kuhusu umiliki wa vyombo vya ulinzi na usalama. Madeleka amedai kuwa kauli hiyo inaweza kuhusishwa na uhaini, akirejea Ibara ya 147(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayoweka mamlaka ya kuunda au kuweka jeshi nchini chini ya Serikali.

Nilitarajia mpaka kufikia sasa kungeshakuwa na kesi imeshafunguliwa dhidi ya chacha na CCM kwa kuhodhi majeshi kinyume cha katiba. Kauli za kwenye mitandano hazina tija !
 
Huyu nae ni mmoja ya washauri wa karibu kabisa (kisiasa) wa Mama wa EDA...kazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom