Wakili Madeleka: Tambua Kwamba Serikali hii siyo ya Kupangiwa Nini kifanye

D

DeletedMember281674

Guest
Nimesikiliza kwa makini sana interview Yako na Jambo Digital Tv Online, mwishoni Mwandishi akakuuliza yake yaliyotokea Tarehe 29 Oktoba 2025 ukamjibu iundwe Tume ya Mahakama ya Truth and Reconciliation kama Ile ya Askofu Desmond Tutu ya South Africa ili wahusika wawajibishwe na Viongozi wa Dola wajiuzulu.

Nataka nimwambie kwa Serikali hii siyo ya Kupangiwa nini ifanye na kipi kisifanywe, kwa taarifa Yako Serikali hii Iko imara na hakuna hata mojawapo uliloliongea unalotaka lifanyiwe kazi litaweza kufanyika. Hata Simbachawene hawezi fanyia kazi hayo uliyopendekeza kama Inspector Mstaafu wa Jeshi la Polisi.

Kataa Mabeberu, kataa maandamano.
 
Utter nonsense!
 
Kwanza hata hivo SSH ametupendelea. Tume ilitakiwa iundwe na Abduli, mchengerwa na Manu
 
Nimesikiliza kwa makini sana interview Yako na Jambo Digital Tv Online, mwishoni Mwandishi akakuuliza yake yaliyotokea Tarehe 29 Oktoba 2025 ukamjibu iundwe Tume ya Mahakama ya Truth and Reconciliation kama Ile ya Askofu Desmond Tutu ya South Africa ili wahusika wawajibishwe na Viongozi wa Dola wajiuzulu.

Nataka nimwambie kwa Serikali hii siyo ya Kupangiwa nini ifanye na kipi kisifanywe, kwa taarifa Yako Serikali hii Iko imara na hakuna hata mojawapo uliloliongea unalotaka lifanyiwe kazi litaweza kufanyika. Hata Simbachawene hawezi fanyia kazi hayo uliyopendekeza kama Inspector Mstaafu wa Jeshi la Polisi.

Kataa Mabeberu, kataa maandamano.
If idiots like you could fly, the sky would be like an airport...😂
 
Nimesikiliza kwa makini sana interview Yako na Jambo Digital Tv Online, mwishoni Mwandishi akakuuliza yake yaliyotokea Tarehe 29 Oktoba 2025 ukamjibu iundwe Tume ya Mahakama ya Truth and Reconciliation kama Ile ya Askofu Desmond Tutu ya South Africa ili wahusika wawajibishwe na Viongozi wa Dola wajiuzulu.

Nataka nimwambie kwa Serikali hii siyo ya Kupangiwa nini ifanye na kipi kisifanywe, kwa taarifa Yako Serikali hii Iko imara na hakuna hata mojawapo uliloliongea unalotaka lifanyiwe kazi litaweza kufanyika. Hata Simbachawene hawezi fanyia kazi hayo uliyopendekeza kama Inspector Mstaafu wa Jeshi la Polisi.

Kataa Mabeberu, kataa maandamano.
Umeandika utumbo wa KUKU
 
Imeuwa zaidi ya waandamanaji 10000 plus,ikawafukia kama mizoga ya kuku waliokufa na kideli,ikawanyima watu wasizike miili ya wapendwa wao,bado inateka,inabaka,inafira na inalawiti,kwa kweli hii kikundi cha kigaidi hakipangiwi
 
Nimesikiliza kwa makini sana interview Yako na Jambo Digital Tv Online, mwishoni Mwandishi akakuuliza yake yaliyotokea Tarehe 29 Oktoba 2025 ukamjibu iundwe Tume ya Mahakama ya Truth and Reconciliation kama Ile ya Askofu Desmond Tutu ya South Africa ili wahusika wawajibishwe na Viongozi wa Dola wajiuzulu.

Nataka nimwambie kwa Serikali hii siyo ya Kupangiwa nini ifanye na kipi kisifanywe, kwa taarifa Yako Serikali hii Iko imara na hakuna hata mojawapo uliloliongea unalotaka lifanyiwe kazi litaweza kufanyika. Hata Simbachawene hawezi fanyia kazi hayo uliyopendekeza kama Inspector Mstaafu wa Jeshi la Polisi.

Kataa Mabeberu, kataa maandamano.
kah! Mbona umejibu kipovu hivyo?
 
Back
Top Bottom