Wakili Madeleka: Tume ya Jaji Lila haina mamlaka ya kisheria kupeleleza jinai

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079

Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na sheria za nchi tayari zimeshatoa mamlaka kamili kwa Jeshi la Polisi pamoja na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kusimamia masuala hayo, na kwamba kuunda tume nyingine kwa ajili ya upelelezi ni kupoteza fedha za umma.

Akifafanua tofauti ya kisheria kati ya uchunguzi na upelelezi, Wakili Madelekea amebainisha kuwa tume za kichunguzi zilizoundwa chini ya Sura ya 32 ya Sheria za Tanzania, ikiwemo Tume ya Jaji Lila, zinalenga tu kutoa ripoti kwa mamlaka iliyoiunda pekee na siyo kumkamata au kumpeleka mtuhumiwa mahakamani. Akiongeza kuwa kazi ya upelelezi wa jinai inayoingia mahakamani ni jukumu la kisheria la polisi linaloratibiwa chini ya Kifungu cha 10 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (Sura ya 20).

Aidha Wakili Madeleka ameeleza kuwa tangu kupatikana kwa uhuru, upelelezi wa masuala ya jinai umekuwa ukifanywa na vyombo vilivyowekwa kisheria, na kwamba hakuna kipengele chochote kwenye Sheria ya Tume za Kichunguzi kinachoipa Tume ya Jaji Lilla uwezo wa kuchukua nafasi ya upelelezi wa kipolisi.
 
Hapa wakili msomi Madeleka has just missed the point za majukumu ya Tume ya Jaji Lila,

Tume ya Jaji Chande imefanya uchunguzi wa what happened ikaja na finding watu 518 wameuwawa, bila kusema wameuliwa na nani,na kama kuna jinai yoyote

Tume ya Jaji Lila inachunguza Inquiry kama kuna jinai na kutoa ripoti yake lakini sio kufanya investigation

Kisha polisi ndio watafanya investigations na kumpa DPP matokeo to prosecute

DPP afungue mashitaka kesi zianze.

P
 
Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na sheria za nchi tayari zimeshatoa mamlaka kamili kwa Jeshi la Polisi pamoja na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kusimamia masuala hayo, na kwamba kuunda tume nyingine kwa ajili ya upelelezi ni kupoteza fedha za umma.

Akifafanua tofauti ya kisheria kati ya uchunguzi na upelelezi, Wakili Madelekea amebainisha kuwa tume za kichunguzi zilizoundwa chini ya Sura ya 32 ya Sheria za Tanzania, ikiwemo Tume ya Jaji Lila, zinalenga tu kutoa ripoti kwa mamlaka iliyoiunda pekee na siyo kumkamata au kumpeleka mtuhumiwa mahakamani. Akiongeza kuwa kazi ya upelelezi wa jinai inayoingia mahakamani ni jukumu la kisheria la polisi linaloratibiwa chini ya Kifungu cha 10 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (Sura ya 20).

Aidha Wakili Madeleka ameeleza kuwa tangu kupatikana kwa uhuru, upelelezi wa masuala ya jinai umekuwa ukifanywa na vyombo vilivyowekwa kisheria, na kwamba hakuna kipengele chochote kwenye Sheria ya Tume za Kichunguzi kinachoipa Tume ya Jaji Lilla uwezo wa kuchukua nafasi ya upelelezi wa kipolisi.
nadhani huyu muungwana uanaharakati umemlevya na kumfanya asahau sheria kabisaaaaaaa 🐒
 
nadhani huyu muungwana uanaharakati umemlevya na kumfanya asahau sheria kabisaaaaaaa 🐒Weka kipengele kinachoioa tume ya jaji Lila kupeleleza jinai

nadhani huyu muungwana uanaharakati umemlevya na kumfanya asahau sheria kabisaaaaaaa 🐒
Mkuu tuwekee kipengele cha kisheria kinachoipa tume ya jaji Lila uwezo wa kupeleleza jinai na kuchukua hatua za kisheria ili na sisi tupate hiyo elimu
 
Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na sheria za nchi tayari zimeshatoa mamlaka kamili kwa Jeshi la Polisi pamoja na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kusimamia masuala hayo, na kwamba kuunda tume nyingine kwa ajili ya upelelezi ni kupoteza fedha za umma.

Akifafanua tofauti ya kisheria kati ya uchunguzi na upelelezi, Wakili Madelekea amebainisha kuwa tume za kichunguzi zilizoundwa chini ya Sura ya 32 ya Sheria za Tanzania, ikiwemo Tume ya Jaji Lila, zinalenga tu kutoa ripoti kwa mamlaka iliyoiunda pekee na siyo kumkamata au kumpeleka mtuhumiwa mahakamani. Akiongeza kuwa kazi ya upelelezi wa jinai inayoingia mahakamani ni jukumu la kisheria la polisi linaloratibiwa chini ya Kifungu cha 10 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (Sura ya 20).

Aidha Wakili Madeleka ameeleza kuwa tangu kupatikana kwa uhuru, upelelezi wa masuala ya jinai umekuwa ukifanywa na vyombo vilivyowekwa kisheria, na kwamba hakuna kipengele chochote kwenye Sheria ya Tume za Kichunguzi kinachoipa Tume ya Jaji Lilla uwezo wa kuchukua nafasi ya upelelezi wa kipolisi.
Tume ya kuisafisha CCM na serikali yake,mama ameshasema tume ichunguze waliofadhili machafuko ya baada na kabla ya kinachoitwa uchaguzi wa 2025.
Lakini isichunguze wauwaji.
 
Hapa wakili msomi Madeleka has just missed the point za majukumu ya Tume ya Jaji Lila,

Tume ya Jaji Chande imefanya uchunguzi wa what happened ikaja na finding watu 518 wameuwawa, bila kusema wameuliwa na nani,na kama kuna jinai yoyote

Tume ya Jaji Lila inachunguza kama kuna jinai,na kutoa ripoti yake

Kisha polisi wanafanya investigations na kumpa DPP matokeo

DPP afungue mashitaka kesi zianze.

P
Mmmhh.
 
Mkuu tuwekee kipengele cha kisheria kinachoipa tume ya jaji Lila uwezo wa kupeleleza jinai na kuchukua hatua za kisheria ili na sisi tupate hiyo elimu
kesho anaweza kuja kedai kwamba Mahakama ya Africa Mashariki, Mahakama ya Africa au ICC kwa vile hazina polisi, basi hazina mamlaka ya kuunda vyombo vya kisheria kupeleleza au kuchunguza jinai na kukusanya ushahidi ili kutoa haki kwa wahusika.

inaonekana wazi kabisa kasahau au kwa kiburi binafsi tu alichonacho hakuisoma kabisa ripoti ya Jaji chande na kuielewa vizuri 🐒
 
Hata kama jamaa ni pandikizi la mfumo kakini anawabagaza vilivyo na kutupa elimu ya sheria
unajisifu na kufurahia kupotoshwa kirahisi hivyo gentleman? Ama kweli wajinga ndio waliwao 🐒
 
Hapa wakili msomi Madeleka has just missed the point za majukumu ya Tume ya Jaji Lila,

Tume ya Jaji Chande imefanya uchunguzi wa what happened ikaja na finding watu 518 wameuwawa, bila kusema wameuliwa na nani,na kama kuna jinai yoyote

Tume ya Jaji Lila inachunguza kama kuna jinai,na kutoa ripoti yake

Kisha polisi wanafanya investigations na kumpa DPP matokeo

DPP afungue mashitaka kesi zianze.

P
Kwa hiyo tume hii inafanya jambo ambalo DCI angefanya sio ?
 
kesho anaweza kuja kedai kwamba Mahakama ya Africa Mashariki, Mahakama ya Africa au ICC kwa vile hazina polisi, basi hazina mamlaka ya kuunda vyombo vya kisheria kupeleleza au kuchunguza jinai na kukusanya ushahidi ili kutoa haki kwa wahusika.

inaonekana wazi kabisa kasahau au kwa kiburi binafsi tu alichonacho hakuisoma kabisa ripoti ya Jaji chande na kuielewa vizuri 🐒
Weka kifungu mkuu hadithi za Essopo hazidhihiri usahihi wa hoja yako
 
Hapa wakili msomi Madeleka has just missed the point za majukumu ya Tume ya Jaji Lila,

Tume ya Jaji Chande imefanya uchunguzi wa what happened ikaja na finding watu 518 wameuwawa, bila kusema wameuliwa na nani,na kama kuna jinai yoyote

Tume ya Jaji Lila inachunguza kama kuna jinai,na kutoa ripoti yake

Kisha polisi wanafanya investigations na kumpa DPP matokeo

DPP afungue mashitaka kesi zianze.

P
Nakubaliana na wewe wakili msomi njaa.

Hao majaji wanachofanya ni inquiry na sio upelelezi kama ule wa polisi.
 
vifungu na utaratibu wa kisheria wa jambo hilo vipo wazi kwenye ripoti ya Jaji chande.

Ni rahisi mno gentleman 🐒
Sheria namba ngapi ya mwaka gani na section gani??
Ripoti ya Chande haikuwahi kuwekwa hadharani mwenye nayo alisema ni ya kwake na hataki kusikia mtu yeyote anaitafuta au kuiulizia au umesahau mkuu
 
Another Noise nikajua labda maamuzi ya Mahakama 😀😀😀
 
Sheria namba ngapi ya mwaka gani na section gani??
Ripoti ya Chande haikuwahi kuwekwa hadharani mwenye nayo alisema ni ya kwake na hataki kusikia mtu yeyote anaitafuta au kuiulizia au umesahau mkuu
acha uvivu gentleman kama huyo wakili mlevi 🐒
 
Kwa hiyo tume hii inafanya jambo ambalo DCI angefanya sio ?
Kwenye washauri, Maza hamna kitu kabisa!, hicho kinachofanywa na hiyo hiyo Tume ya Lila, kingeweza kufanywa na Tume ya Haki za Binaadam.

Majeshi yote silaha zinachukuliwa kwa maandishi, na magazini pia kwa maandishi, askari polisi yeyote akifyatua risasi yoyote lazima a account kila risasi aliyopiga. Hivyo wakitaka kumjua ni polisi gani alifyatua risasi ipi iliyomuua nani.

P
 
Back
Top Bottom