Hapa wakili msomi Madeleka has just missed the point za majukumu ya Tume ya Jaji Lila,
Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na sheria za nchi tayari zimeshatoa mamlaka kamili kwa Jeshi la Polisi pamoja na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kusimamia masuala hayo, na kwamba kuunda tume nyingine kwa ajili ya upelelezi ni kupoteza fedha za umma.
Akifafanua tofauti ya kisheria kati ya uchunguzi na upelelezi, Wakili Madelekea amebainisha kuwa tume za kichunguzi zilizoundwa chini ya Sura ya 32 ya Sheria za Tanzania, ikiwemo Tume ya Jaji Lila, zinalenga tu kutoa ripoti kwa mamlaka iliyoiunda pekee na siyo kumkamata au kumpeleka mtuhumiwa mahakamani. Akiongeza kuwa kazi ya upelelezi wa jinai inayoingia mahakamani ni jukumu la kisheria la polisi linaloratibiwa chini ya Kifungu cha 10 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (Sura ya 20).
Aidha Wakili Madeleka ameeleza kuwa tangu kupatikana kwa uhuru, upelelezi wa masuala ya jinai umekuwa ukifanywa na vyombo vilivyowekwa kisheria, na kwamba hakuna kipengele chochote kwenye Sheria ya Tume za Kichunguzi kinachoipa Tume ya Jaji Lilla uwezo wa kuchukua nafasi ya upelelezi wa kipolisi.
Iweke hapa nasi tuelimike mkuuHapa wakili msomi Madeleka has just missed the point za majukumu ya Tume ya Jaji Lila,
nadhani huyu muungwana uanaharakati umemlevya na kumfanya asahau sheria kabisaaaaaaa 🐒
Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na sheria za nchi tayari zimeshatoa mamlaka kamili kwa Jeshi la Polisi pamoja na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kusimamia masuala hayo, na kwamba kuunda tume nyingine kwa ajili ya upelelezi ni kupoteza fedha za umma.
Akifafanua tofauti ya kisheria kati ya uchunguzi na upelelezi, Wakili Madelekea amebainisha kuwa tume za kichunguzi zilizoundwa chini ya Sura ya 32 ya Sheria za Tanzania, ikiwemo Tume ya Jaji Lila, zinalenga tu kutoa ripoti kwa mamlaka iliyoiunda pekee na siyo kumkamata au kumpeleka mtuhumiwa mahakamani. Akiongeza kuwa kazi ya upelelezi wa jinai inayoingia mahakamani ni jukumu la kisheria la polisi linaloratibiwa chini ya Kifungu cha 10 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (Sura ya 20).
Aidha Wakili Madeleka ameeleza kuwa tangu kupatikana kwa uhuru, upelelezi wa masuala ya jinai umekuwa ukifanywa na vyombo vilivyowekwa kisheria, na kwamba hakuna kipengele chochote kwenye Sheria ya Tume za Kichunguzi kinachoipa Tume ya Jaji Lilla uwezo wa kuchukua nafasi ya upelelezi wa kipolisi.
ChawaHapa wakili msomi Madeleka has just missed the point za majukumu ya Tume ya Jaji Lila,
nadhani huyu muungwana uanaharakati umemlevya na kumfanya asahau sheria kabisaaaaaaa 🐒Weka kipengele kinachoioa tume ya jaji Lila kupeleleza jinai
Mkuu tuwekee kipengele cha kisheria kinachoipa tume ya jaji Lila uwezo wa kupeleleza jinai na kuchukua hatua za kisheria ili na sisi tupate hiyo elimunadhani huyu muungwana uanaharakati umemlevya na kumfanya asahau sheria kabisaaaaaaa 🐒
Tume ya kuisafisha CCM na serikali yake,mama ameshasema tume ichunguze waliofadhili machafuko ya baada na kabla ya kinachoitwa uchaguzi wa 2025.
Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na sheria za nchi tayari zimeshatoa mamlaka kamili kwa Jeshi la Polisi pamoja na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kusimamia masuala hayo, na kwamba kuunda tume nyingine kwa ajili ya upelelezi ni kupoteza fedha za umma.
Akifafanua tofauti ya kisheria kati ya uchunguzi na upelelezi, Wakili Madelekea amebainisha kuwa tume za kichunguzi zilizoundwa chini ya Sura ya 32 ya Sheria za Tanzania, ikiwemo Tume ya Jaji Lila, zinalenga tu kutoa ripoti kwa mamlaka iliyoiunda pekee na siyo kumkamata au kumpeleka mtuhumiwa mahakamani. Akiongeza kuwa kazi ya upelelezi wa jinai inayoingia mahakamani ni jukumu la kisheria la polisi linaloratibiwa chini ya Kifungu cha 10 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (Sura ya 20).
Aidha Wakili Madeleka ameeleza kuwa tangu kupatikana kwa uhuru, upelelezi wa masuala ya jinai umekuwa ukifanywa na vyombo vilivyowekwa kisheria, na kwamba hakuna kipengele chochote kwenye Sheria ya Tume za Kichunguzi kinachoipa Tume ya Jaji Lilla uwezo wa kuchukua nafasi ya upelelezi wa kipolisi.
Mmmhh.Hapa wakili msomi Madeleka has just missed the point za majukumu ya Tume ya Jaji Lila,
Tume ya Jaji Chande imefanya uchunguzi wa what happened ikaja na finding watu 518 wameuwawa, bila kusema wameuliwa na nani,na kama kuna jinai yoyote
Tume ya Jaji Lila inachunguza kama kuna jinai,na kutoa ripoti yake
Kisha polisi wanafanya investigations na kumpa DPP matokeo
DPP afungue mashitaka kesi zianze.
P
kesho anaweza kuja kedai kwamba Mahakama ya Africa Mashariki, Mahakama ya Africa au ICC kwa vile hazina polisi, basi hazina mamlaka ya kuunda vyombo vya kisheria kupeleleza au kuchunguza jinai na kukusanya ushahidi ili kutoa haki kwa wahusika.Mkuu tuwekee kipengele cha kisheria kinachoipa tume ya jaji Lila uwezo wa kupeleleza jinai na kuchukua hatua za kisheria ili na sisi tupate hiyo elimu
unajisifu na kufurahia kupotoshwa kirahisi hivyo gentleman? Ama kweli wajinga ndio waliwao 🐒Hata kama jamaa ni pandikizi la mfumo kakini anawabagaza vilivyo na kutupa elimu ya sheria
Kwa hiyo tume hii inafanya jambo ambalo DCI angefanya sio ?Hapa wakili msomi Madeleka has just missed the point za majukumu ya Tume ya Jaji Lila,
Tume ya Jaji Chande imefanya uchunguzi wa what happened ikaja na finding watu 518 wameuwawa, bila kusema wameuliwa na nani,na kama kuna jinai yoyote
Tume ya Jaji Lila inachunguza kama kuna jinai,na kutoa ripoti yake
Kisha polisi wanafanya investigations na kumpa DPP matokeo
DPP afungue mashitaka kesi zianze.
P
Weka kifungu mkuu hadithi za Essopo hazidhihiri usahihi wa hoja yakokesho anaweza kuja kedai kwamba Mahakama ya Africa Mashariki, Mahakama ya Africa au ICC kwa vile hazina polisi, basi hazina mamlaka ya kuunda vyombo vya kisheria kupeleleza au kuchunguza jinai na kukusanya ushahidi ili kutoa haki kwa wahusika.
inaonekana wazi kabisa kasahau au kwa kiburi binafsi tu alichonacho hakuisoma kabisa ripoti ya Jaji chande na kuielewa vizuri 🐒
Nakubaliana na wewe wakili msomi njaa.Hapa wakili msomi Madeleka has just missed the point za majukumu ya Tume ya Jaji Lila,
Tume ya Jaji Chande imefanya uchunguzi wa what happened ikaja na finding watu 518 wameuwawa, bila kusema wameuliwa na nani,na kama kuna jinai yoyote
Tume ya Jaji Lila inachunguza kama kuna jinai,na kutoa ripoti yake
Kisha polisi wanafanya investigations na kumpa DPP matokeo
DPP afungue mashitaka kesi zianze.
P
vifungu na utaratibu wa kisheria wa jambo hilo vipo wazi kwenye ripoti ya Jaji chande.Weka kifungu mkuu hadithi za Essopo hazidhihiri usahihi wa hoja yako
Hapana.Kwa hiyo tume hii inafanya jambo ambalo DCI angefanya sio ?
Sheria namba ngapi ya mwaka gani na section gani??vifungu na utaratibu wa kisheria wa jambo hilo vipo wazi kwenye ripoti ya Jaji chande.
Ni rahisi mno gentleman 🐒
acha uvivu gentleman kama huyo wakili mlevi 🐒Sheria namba ngapi ya mwaka gani na section gani??
Ripoti ya Chande haikuwahi kuwekwa hadharani mwenye nayo alisema ni ya kwake na hataki kusikia mtu yeyote anaitafuta au kuiulizia au umesahau mkuu
Kwenye washauri, Maza hamna kitu kabisa!, hicho kinachofanywa na hiyo hiyo Tume ya Lila, kingeweza kufanywa na Tume ya Haki za Binaadam.Kwa hiyo tume hii inafanya jambo ambalo DCI angefanya sio ?