Hakika umeeleza inavyotakiwa na ndiyo maana CDM inasema ili tuwe na maridhiano ya kweli ni lazima kuwe na uwazi na uwajibikaji.Kwenye washauri, Maza hamna kitu kabisa!, hicho kinachofanywa na hiyo hiyo Tume ya Lila, kingeweza kufanywa na Tume ya Haki za Binaadam.
Majeshi yote silaha zinachukuliwa kwa maandishi, na magazini pia kwa maandishi, askari polisi yeyote akifyatua risasi yoyote lazima a account kila risasi aliyopiga. Hivyo wakitaka kumjua ni polisi gani alifyatua risasi ipi iliyomuua nani.
P
Kazi yako ni uchawaHapa wakili msomi Madeleka has just missed the point za majukumu ya Tume ya Jaji Lila,
Tume ya Jaji Chande imefanya uchunguzi wa what happened ikaja na finding watu 518 wameuwawa, bila kusema wameuliwa na nani,na kama kuna jinai yoyote
Tume ya Jaji Lila inachunguza Inquiry kama kuna jinai na kutoa ripoti yake lakini sio kufanya investigation
Kisha polisi ndio watafanya investigations na kumpa DPP matokeo to prosecute
DPP afungue mashitaka kesi zianze.
P
Huko nyuma niliwahi kushauri viongozi wanapokosea na kui embarrass serikali, wapishe wenyewe kumuokoa Boss wao.Hakika umeeleza inavyotakiwa na ndiyo maana CDM inasema ili tuwe na maridhiano ya kweli ni lazima kuwe na uwazi na uwajibikaji.
Hakuna kisichoweza kuwa traced back na kujulikana kwa umma.
Sio tu maza hana washauri makini, sema maza yeye binafsi pia hamna kitu!.Kwenye washauri, Maza hamna kitu kabisa!, hicho kinachofanywa na hiyo hiyo Tume ya Lila, kingeweza kufanywa na Tume ya Haki za Binaadam.
Majeshi yote silaha zinachukuliwa kwa maandishi, na magazini pia kwa maandishi, askari polisi yeyote akifyatua risasi yoyote lazima a account kila risasi aliyopiga. Hivyo wakitaka kumjua ni polisi gani alifyatua risasi ipi iliyomuua nani.
P
Kwa kweli inasikitisha sana Kama taifa kuona raia 518 waliuawa na serikali inakiri ila cha ajabu hadi sasa serikali haisemi chochote nani aliua na kama yupo ni hatua gani zimechukukiwa, zaidi hata baadhi ya maiti hazijulikani ziko wapi hadi sasa, then tunasema maridhiaono ambayo binafsi naona yatakuwa maridhiano ya gizas / mashaka sana.Huko nyuma niliwahi kushauri viongozi wanapokosea na kui embarrass serikali, wapishe wenyewe kumuokoa Boss wao.
Wamekufa watu 518 and no one amewajibika!watamponza boss wao,na sisi ambao ni wananchi ambao ndio ma boss wa boss wao,tunalia na mwajiriwa wetu!
P
Kwa heshima ya kiafrika kuna vitu hatutakiwi kusema hata kama ni vya kweli, moja ya vitu hivyo ni the boss is always right,hivyo huwezi kusema boss hamna kitu bosi hakosei,Sio tu maza hana washauri makini, sema maza yeye binafsi pia hamna kitu!.
Ukiwa na 'kitu' utateua washauri wenye 'kitu' and vice vesra is also true!.