ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Wakili Madeleka ametangaza Nia yake kumpeleka pingamiza mahakama ya uraia wa wachezaji 4 wa Singida Black Stars ambao walipewa uraia wa Kimagumashi
Nakukumbusha Madeleka huu uhuni watangulizi wake ni Simba na hapa Singida waliiga
Kibu anadai alikuwa nchini Toka zamani mwaka 1998, lakini Kibu ana umri wa miaka 26, na kutoka 1998 mpaka ni miaka 27, Sasa swali,
Ina maana Kibu alikuwa nchini kabla ya kuzaliwa?
Kibu ni raia wa Burundi na siyo Congo kama wengi wanavyodai na wala hakuwa kuwa mkimbizi katika kambi yoyote hapa Tanzania
Kibu aliingia nchini akiwa mtu mzima kupitia vijiji vya Bugarama na Kabanga Ngara na aliishi hapa nchini akicheza amateur football ⚽ huku Ngara na baadae akaenda Geita na Mbeya city baadae Simba
Ndugu wa Kibu ni WA Burundi wanakuja Ngara hapa
Kibu ana jinai ya kuishi nchini bila vibali
Jambo la kihuni likifanywa na Simba mnaligicha ila wakifanya vidagaanakimbilia mahakamani
Serikali uchunguze uhalali wa uraia wa Kibu kwanza kama ulifata vigezo