Wakili Maduhu: Katiba tuliyonayo ina maono ya mfumo wa chama kimoja

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wakili William Maduhu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) amesema kuwa Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado inaakisi maono ya mfumo wa chama kimoja cha siasa, licha ya nchi kuingia katika mfumo wa vyama vingi.
 
Ameainisha Ibara ipi specifically au ni ukasuku wa ku-echo wanasiasa wenye uchu wa madaraka
 
Wakili William Maduhu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) amesema kuwa Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado inaakisi maono ya mfumo wa chama kimoja cha siasa, licha ya nchi kuingia katika mfumo wa vyama vingi.
Mkuu Mkalu, Mkalukungone Mwamba
kwanza asate kwa hoja hii,mambo ya katiba ni mambo yabgu,na mimi sio tuu naunga mkono hoja ya wakili msomi William Maduhu,bali pia nakazia,kwa kuwaambia ukweli Watanzania,kwa katiba hii,CCM,itatawala Tanzania milele na milele!,ndio maana nikatoa wito humu,tumshukuru sana Rais Samia kukubali kutuletea katiba mpya.
Wajua Tanzania Haijawahi Kuwa na Katiba ya Wananchi?. Katiba Hii Iliyopo ni ya CCM!, Pongezi Katiba ya Samia, Ndio Katiba ya Kwanza ya Wananchi!.

Hoja ya katiba iliyopo ni ya chama kimoja,tumeijadili sana humu
1791676786070.jpeg

Je, Wajua Japo Tanzania Ilipaswa Kutawaliwa na Ukuu wa Katiba, Lakini Inatawaliwa na Ukuu wa Chama?. Mbele ya Chama, Katiba si Lolote, si Chochote!
P
 
Back
Top Bottom