Wakili Msomi Maduhu William Mchambuzi wa masuala ya Siasa akizungumza katika kipindi cha Sentro Clouds TV ameeleza kuhusiana na Vyama pinzani kushindana na Chama cha Mapinduzi CCM inahitaji kuwekeza katika hoja na watakachofanya kwa wananchi kuzidi CCM iliyopo madarakani kuwa na sera madhubuti na mbadala na siyo maigizo, matusi na kejeli
Pia ameeleza kuhusu CHADEMA kushiriki aukutoshiriki uchaguzi ni haki yao
Pia ameeleza kuhusu CHADEMA kushiriki aukutoshiriki uchaguzi ni haki yao