Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Sasa hawa polisi mbona wanaleta michezo ya kishamba. Mnamchukua mtu kwa madai ya kumpeleka kwenye mahojiano, lakini ampeleki kunakohusika mliposema.
Hivi mkiendelea kuambiwa kwamba mnateka mtakataa kweli? Embu muachie Heche mnazidisha hasira zaidi kwa wananchi.
=================
Soma Pia: CHADEMA: Polisi wilaya ya Tarime na uhamiaji hawajui alipo John Heche, bado hajafikishwa kituoni hapo
Akiwa kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Wakili Deogratias Mahinyila ametoa wito kwa Jeshi la Polisi na mamlakka nyingine zinazohusika kutoa taarifa na kuueleza umma ni wapi alipo Heche na nini kimaendelea dhidi yake sasa tangu alipokamatwa na Jeshi la Polisi hapo jana akiwa anaingia kwenye viunga vya Mahakama hiyo