Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Hayo maandamano siyo ya CHADEMA pekee; naona hata wewe upo tayari kuungana nayo.Nyie makamanda uchwara ndio mnataka kuandamana 29th wakati Heche kanyakuliwa hivi hivi huku mnaona?😎
Cc: Mimi Wewe Yule
unafurahia aya mambo?Nyie makamanda uchwara ndio mnataka kuandamana 29th wakati Heche kanyakuliwa hivi hivi huku mnaona?😎
Cc: Mimi Wewe Yule
Kwa hiyo makamanda uchwara ni Chadema?Hayo maandamano siyo ya CHADEMA pekee; naona hata wewe upo tayari kuungana nayo.
Unaona ni jambo jema tu sio?Nyie makamanda uchwara ndio mnataka kuandamana 29th wakati Heche kanyakuliwa hivi hivi huku mnaona?😎
Cc: Mimi Wewe Yule
AiseeSasa hawa polisi mbona wanaleta michezo ya kishamba. Mnamchukua mtu kwa madai ya kumpeleka kwenye mahojiano, lakini ampeleki kunakohusika mliposema.
Hivi mkiendelea kuambiwa kwamba mnateka mtakataa kweli? Embu muachie Heche mnazidisha hasira zaidi kwa wananchi.
=================
Soma Pia: CHADEMA: Polisi wilaya ya Tarime na uhamiaji hawajui alipo John Heche, bado hajafikishwa kituoni hapo
Akiwa kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Wakili Deogratias Mahinyila ametoa wito kwa Jeshi la Polisi na mamlakka nyingine zinazohusika kutoa taarifa na kuueleza umma ni wapi alipo Heche na nini kimaendelea dhidi yake sasa tangu alipokamatwa na Jeshi la Polisi hapo jana akiwa anaingia kwenye viunga vya Mahakama hiyo
Sasa hawa polisi mbona wanaleta michezo ya kishamba. Mnamchukua mtu kwa madai ya kumpeleka kwenye mahojiano, lakini ampeleki kunakohusika mliposema.
Hivi mkiendelea kuambiwa kwamba mnateka mtakataa kweli? Embu muachie Heche mnazidisha hasira zaidi kwa wananchi.
=================
Soma Pia: CHADEMA: Polisi wilaya ya Tarime na uhamiaji hawajui alipo John Heche, bado hajafikishwa kituoni hapo
Akiwa kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Wakili Deogratias Mahinyila ametoa wito kwa Jeshi la Polisi na mamlakka nyingine zinazohusika kutoa taarifa na kuueleza umma ni wapi alipo Heche na nini kimaendelea dhidi yake sasa tangu alipokamatwa na Jeshi la Polisi hapo jana akiwa anaingia kwenye viunga vya Mahakama hiyo
Siasa gani za kuuana na kufungana?Nyie makamanda uchwara ndio mnataka kuandamana 29th wakati Heche kanyakuliwa hivi hivi huku mnaona?😎
Cc: Mimi Wewe Yule
Wewe ni WA kuonewa hurumaNyie makamanda uchwara ndio mnataka kuandamana 29th wakati Heche kanyakuliwa hivi hivi huku mnaona?😎
Cc: Mimi Wewe Yule
Polis wanae, kwanushurikiano kabisa walionekana wakimchukua mahakamani wao, sasa wanakanaje hapo?
Ndio imetoka hio jamaa harudi tena hivyo km utani vile yaan na watu wanaona kabisa yaanHivi mkiendelea kuambiwa kwamba mnateka mtakataa kweli? Embu muachie Heche mnazidisha hasira zaidi kwa wananchi.
Huwaajui vizuri wewe wataruka futi 150 kwamba wao hawana na hawajamchukua wao km mnaweza fanyeni chochote mnachowezaPolis wanae, kwanushurikiano kabisa walionekana wakimchukua mahakamani wao, sasa wanakanaje hapo?
Labda wangenyakua kwa siri? Ila first move wameshaharibu. Public knows yupo mikononi mwao
Jamaa ndio hautomuona tena aiseeSiasa gani za kuuana na kufungana?